Pea ngapi za viatu mwanamme anapaswa kuwa nazo?

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Pea ngapi za viatu mwanamme anapaswa kuwa nazo?

Wapendwa salaam, napenda kufahamu kwa mwanamme wa kawaida ni idadi gani ya pea za viatu anapaswa kuwa nazo, ukiacha soksi na chupi?

Mwenzio tangu nimalize shule nilikuwa na pea mbili za viatu nikiwa na mawazo kuwa nikianza kazi, maisha ya kachanganyia ntakuwa na pea kibao za viatu, ajabu ni kwamba, huwa nanunua kiatu nikiona nilicho nacho kikianza kupoteza mwelekeo.

Wadau naomba ushauri katika hali ya kawaida ni pea ngapi za viatu napaswa kuwa nazo?
 
wastani ni pea 30 kila siku na kiatu chake, suruali na shati lake +chupi na siksi
 
Do mbona nyingi, si unaweza fungua duka? Akina sister wanajitahidi kumechisha, ila wababa wanavaa viatu wasiumie miguu tu.
 
Pea mbili za kazini-black&brown ambazo zinapendeza kumechisha na mikanda yake.

Sandals-pea moja siyo mbaya,miguu ipate hewa nayo

Raba-kwa mazoezi au hata mizunguko ya weekend kama shamba. inategemea pea ngapi unapenda

Pea moja/mbili-kwa ajili ya mitoko kama harusi/date nk.rangi nyeusi ni nzuri kati ya pea moja wapo

Kumbuka kununua pea zingine zikikaribia kuchakaa
 
kwa staili hyo binamu kila mara utakuwa unakwenda dukani kununua viatu na nguo angalau 30
 
hapana ukienda kununua uwe unatupa viatu vilivyochoka. usirundike ndani kama huvai.

Ikija suala la nguo unahitaji nyingi, kwa mfano nikienda holiday huwa nahakikisha nina nguo mpya ili nikipiga picha iwe kama tukio jipya siyo copy&paste na nguo zile zile ila mazingira tofauti.
 
Pea mbili za kazini-black&brown ambazo zinapendeza kumechisha na mikanda yake.

Sandals-pea moja siyo mbaya,miguu ipate hewa nayo

Raba-kwa mazoezi au hata mizunguko ya weekend kama shamba. inategemea pea ngapi unapenda

Pea moja/mbili-kwa ajili ya mitoko kama harusi/date nk.rangi nyeusi ni nzuri kati ya pea moja wapo

Kumbuka kununua pea zingine zikikaribia kuchakaa
Mwanaume anyezungumziwa hapa ni wa kundi lipi hasa? mfanyakazi, mkulima, mfanyabiashara, mwizi, fisadi, tapeli au? maana ukiwaangalia ktk makundi hayo utaona style za uvaaji wao ni tofauti kulingana na mazingira yao ya kazi, sababu hiyo tu inaweza kuathiri idadi ya pair ulizopendekeza.
 
Pea tatu zinatosha, mbili black na moja brown. Zikichakaa kumbuka kunuanua zingine.
 
Mimi,nina cha kanisan yan moka,cha disko mf. Rubber adidas,cha kudhurula mf.all star na sandal moja.
 
Pea mbili za kazini-black&brown ambazo zinapendeza kumechisha na mikanda yake.

Sandals-pea moja siyo mbaya,miguu ipate hewa nayo

Raba-kwa mazoezi au hata mizunguko ya weekend kama shamba. inategemea pea ngapi unapenda

Pea moja/mbili-kwa ajili ya mitoko kama harusi/date nk.rangi nyeusi ni nzuri kati ya pea moja wapo

Kumbuka kununua pea zingine zikikaribia kuchakaa
Naunga mkono hoja
 
Binafsi nina
1- brown
1-black
1-raba za michezo
1-raba za mtoko kuvalia jeans
1-sandals za kutembelea maeneo ya home.
Sipendi kuwa na viatu vingi sana sijajua ni kwa nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom