watumia wa pdproxy na wanaopenda kuitumia voucher zipo hapa na hata kwa member wapya mnakaribishwa 0717957070
watumia wa pdproxy na wanaopenda kuitumia voucher zipo hapa na hata kwa member wapya mnakaribishwa 0717957070
watumia wa pdproxy na wanaopenda kuitumia voucher zipo hapa na hata kwa member wapya mnakaribishwa 0717957070
watumia wa pdproxy na wanaopenda kuitumia voucher zipo hapa na hata kwa member wapya mnakaribishwa please PM
It doesn't seem to work anymore, it keeps disconect in every few seconds
Inawezekana siku ile ulikuwa na Ukweli fulani maana mm ninazo complaints kama 3 kwamba inadisconnect now and then
Kuna mabaye niliweza solve lkn It seems hawa jamaa wameanza kubana Speed Pia
Maana mm nilikuwa napiga kitu mpaka 1MB/s lkn sasa hata 700kb/s imekuwa shida
Kwangu haifanyi kazi kabisa, uki connect ina disconnect in 30 seconds.
Nilifikiri labda iliyoshughulikiwa ni line yangu tu, nikajaribu line tofauti tofauti but ended up with same results.
katika dunia hii kizuri hakidumu, Pia hii dhana ya kutaka kutumia bure ni mbaya sana!, maana sasa mtu aliyekua ana download 100GB bure leo anapolazimika kulipa ili kufugua JF anaona kama anaishi jehanamu vile
Hii sasa ni too much yaani kila mtu sasa ni mchuuzi wa Pd proxy sijui nani atakuwa mnunuzi?
Hizi vurugu zitawafanya wenye Basi lao wasitishe kutoa lift kwa 0000 ndipo mtakapoanza kutafutana kwa tochi, mie nipo pembeni nakula Kabaaaaaaangh jerooo kwa 24hr na 10K mwezi mzima ila sitaki PM wala nini KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO !!!!!!
Tatizo ni pale ma reseller wamekua wengi na hawaangalii watu wa kuwauzia kitu kinachopelekea matundu kushtukiwa mapema.
Japo hautaki PM emu elezea hapo kwenye RED maana kama maneno hayaja nyoka Vile
ndo inakatakata kila baada ya dakika fulani au yako hiyo ikoje