PDF GENERATOR in PHP applications

PDF GENERATOR in PHP applications

Chief Lugina

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
286
Reaction score
77
Guys Leo kulikuwa na ubishi wa kitaaluma kuhusu jinsi ya kugenerate pdf Reports kwa kutumia library kutoka Joomla. Sasa mmoja kati yetu alitoa details zake jinsi ya kufanya hiyo kitu lakini mwisho wa siku aka-fail. Sasa kama kuna mtu analishawahi kufanya hiyo kitu please assist to fixup that case. Tunafanya School Information System na sasa tunataka kugenerate pdf Reports sasa tunaona hiyo ndiyo huenda ikawa moja ya solutions. hiyo kitu huwa inapatikana hapa Joomla\libraries\tcpdf
 
Hi Chief,
do this 1. copy the folder on your Web server 2. set your installation path on the config/tcpdf_config.php 3. call the test_unicode.php page with your browser to see an example NOTE: the test_old.php require proper font setup on tcpdf_config.

on the tcpdf_config file make sure you make the necessary configurations.

but mkuu i reckon using tcpdf is actually working hard why don't you guys rather get a component that will do that on the fly..working smart saves alot of time if you working on a large project.anyway that's my opinion.hope it helps you out.
 
Chief as Codezila Pointed out why dot you go the easy way

There are some joomla reporting component wich can be easily customised rater than starting the hard way.

Some are
  • SQL 2 excel
  • another one wich I once tried but could not get it work is milkchart . Its not PHP drven . Its Javascript.
Hizo mbili nimewai kujaribu kucheza cheza nazo lakini unaweza pia kucheki hii list ya tool mbali mbali za java . nadhani u can create something like a Applet ambayo ikawa ainavuta report

Labda ungefafanua report unazotaka kugenerate zikoje. Ni text report tu au ni text na michoro kama pie chart na bar graph etc.
 
Back
Top Bottom