Pd Titus Amigu: Uanaume ni nguvumali si kubweteka

Wewe utakuwa ni msabato unayeongozwa na uzushi wa malaya mmoja mzungu hellen white
Naona wengi mnasema kuhusu usabato. Wale wasabato ni kama nyie warumi, wote mnaabudu sanamu. Nyie yenu mnaiita bikira maria na wao wanayo wanaiita sabato.
 
Samahani mwanaume kawa INJILI YA SILINDA ngapi!?

Wanaume tumeombwa mateso, kuhangaika!
 
Hili andiko lako hapa linathibitisha pasipo shaka yoyote hoja yangu. Yesu Kristo ninayemfahamu mimi hayupo kabisa sawa na lugha yako inayoonesha kilichopo moyoni mwako.
Mjinga km wewe,ukiniambia kuwa Sina Yesu hainiumizi kichwa maana wewe si chochote, Wewe ni mvimba macho tu.
 
Hebu acha chuki zako mbwa wewe,Majitu mengine kazi kuleta chuki za kidini tu,sasa km kweli Wewe unakielewa unachokipinga si ueleze hapa kinagaubaga!!,Lkn kwasababu wewe una chuki tu na Kanisa Katoliki ndio maana huwezi kuelezea.Na mtakoma sana na chuki zenu tunaendelea kujizatiti kiimani,Redio Maria Sasa inazidi kuenea Nchi nzima ili watu wapate Injili,Wavimba macho mtakoma.
Si vyema kumuita mbwa huyu mtu. Lakini sisi wanadamu tulio kwenye makanisambalimbali tumekuwa ni watu wa kuwaona wengine si makanisa ya kweli hili jambo si sawa pia. Ukweli tusome neno la Mungu tulielewe na habari za madhehebu hazitatusumbua.
 
Nimemjibu kutokana na kauli yake,Sio dhambi kumjibu mtu Mjinga kadiri ya Ujinga wake, hata Yesu Kristo aliwahi kumwita Herode Mbweha Lk.13:31-32, kutokana na Upuuzi wa Herode, imeandikwa hivi;

Luka 13:31 Saa ile ile Mafarisayo kadha wa kadha walimwendea, wakamwambia, Toka hapa, uende mahali pengine, kwa sababu Herode anataka kukuua.
Luka 13:32 Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
 
Naona wengi mnasema kuhusu usabato. Wale wasabato ni kama nyie warumi, wote mnaabudu sanamu. Nyie yenu mnaiita bikira maria na wao wanayo wanaiita sabato.
Na nyie mnaojiabudu wenyewe kila mtu anatafuta ukubwa na heshima asizostahili
 
Baba padre nyumba za ibada zinachezewa Sana kwa nn wasanii waislamu hawafanyi Sanaa yao misikiti I? Wenzetu wanaheshimu Sana nyumba zao za ibada kwa wasimamizi wa hayo makanisani wanaruhusu upumbavu ufanyike kanisani tena na wasanii Waislam ipo siku wataigiza porn kanisani.Kemeeni jamani
hawataenda mbinguni kwa kuheshimu nyumba za ibada.
kuingia peponi ni kazi ngumu sana,ila wanafiki wanairahisisha.
 
kukanyaga mafuta ya upako, au “kujambiwa” ushuzi wa upako, au kupata teke la upako, au kuvaa “chupi za upako”, au kwa kunywa maji ya upako, ujue shida ni ya wanaume waliojiunga na akina mama pale, hawajitambui. Hawajatambua maana ya “nguvu mali.”

Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andiko zuri sana ila kwa vile tumeshachelewa na wanaume wameshakuwa goigoi basi tuhamie upande wa pili wa kuwainua wanawake, tukiwa na wanawake waliojithamisha na WA ghali ya juu kama elimu Bora, maarifa Bora, maisha Bora na ajira za kujikimu wao basi tutapata wanaume wenye kujituma Ili wapate kilicho Bora.
 
No
Soma tena juu ya mwanaumika
 
Back
Top Bottom