Unajua PD proxy ni VPN japo sijui kama wanatumia VPS au Dedicated serverS
Servers ni computer zenye uwezo mkubwa na zina RUN Mara nyingi Linux na makampuni mengi yanayotumia server e.g Tanesco,banks etc server zao ni Linuxx based servers and usually Cent OS 6 and rarely ubuntu etc
Hivo hata wewe nanoymite unaweza kuwa na server yako personal ili mradi uwe unajua kui-administret,unainstall OpenVpn kwenye hiyo server yako,unainstall Certificates ili kila mara iki-autheticate iombe username naa passwd...na hauitaji kuwa na VPN SOFTWARE e.g wi free,pd proxy.meeorvpn etc bali unatumia OPEN VPN client na unakula bata
point nyingine VPS kwa matumizi ya mtu mmoja au wasiozidi ishiri inafaa...Lkn hizo server unazoona kwenye pd proxy e.g Demo server,Los angels,Torrent 1,2,3,5,7,8 etc hizi zitakuwa Dedicated servers yaani perfomance yake ni kubwa sababu na watumiaji ni wengi.
SERVER YENYE SPEED KUBWA
Chagua nchi iliyokaribu Dar es salaam kama upo Dar mfano Hide my ass VPN ndo kampuni yenye server iliyo located EGYPT katti ya VPN nilizoziona hii lazima ukiitumia lazima iwe SUPER FAST sababu iko close na wewe/location yako