Kama ulitaka kuwataarifu PCCB umenoa step unatakiwa umtaarifu mwajiri wa huyo jamaa. Kama mhusika ni PCCB mwenyewe aliye acha kazi basi huyo hayajui maadili ya kazi anatakiwa akamatwe na aliyezituma hela kwa huyo aliyeacha kazi au wote wawili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.