Wadau pccb walisema result itakua out before ijumaa asubuhi ndo hii vp washaachia hayo majina wadau
Wadau pccb walisema result itakua out before ijumaa asubuhi ndo hii vp washaachia hayo majina wadau
Picha za nini tena mkuuToka jana, wameanza kupiga simu na kuwaambia wapeleke picha.
before ijumaa asubuhi....mbona kama leo ni alhamis?
Kashavurugwa huyo.
Picha za nini tena mkuu
MH!kumbe una ndugu mzazi huko?baba kasema hadi jumatatu.!