PCCB, Kumekucha leo

PCCB, Kumekucha leo

mambo yamekuwa kimya hadi sasa hebu tungoje maana siku haijaisha leo inatakiwa kimekimeeleweka kesho ni deadline tu tujuzane wadau
 
nshaongea na dadangu yuko pale anaxema ndo wanamalzia xo mpaka next week wandg 2ombe uzma mazeya
 
oya ndg zangu number yangu yamtihani wamemwandikia mwengne namimi ndo niliku nimepta ila ye ndo kapta nfanyeje
 
oya ndg zangu number yangu yamtihani wamemwandikia mwengne namimi ndo niliku nimepta ila ye ndo kapta nfanyeje
Yaani bora wewe umeona hata number yako. mimi jina na number sivioni, huu ni usanii tu, Mungu yupo ipo siku tutatoka tu.
 
M nmeliona jina na namba angu so amna yyt alieskia wat are w supposed to do?
 
wamefanya mabadiliko walijichanganya wametoa upya tar 30/1 kwaiyo cheki kene web yao mungu kaxaidia mungu yumwema
 
Back
Top Bottom