USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Taasisi ya kupambana na rushwa inchini imesema kwa sasa wanawahoji viongozi wanaounda baraza la wadhamini la CHADEMA kufuatia tuhuma zilizotolewa na wabunge wanaokihama chama chama hicho kuwa wao ndio wenye mali za chama kwa mujibu ya katiba ya chadema ya mwaka 2006 iliyofanyiwa mabadiliko 2019.
Msemaji wa TAKUKURU amewaambia waandishi wa habari kuwa wamesha wahoji baadhi ya viogozi wanaohusika na fedha mara baada ya wabunge wa chama hicho kusema kuna pesa wametapeli.
Msemaji wa TAKUKURU anasema baada ya kuwahoji baraza la wadhamini wa chama watawahoji viogozi waliobaki
"Hapa kuna tuhuma kutoka kwa viongozi ambao ni wabunge na wametupa ushirikiano na sisi lazima tuchukue hatua" alisema msemaji wa TAKUKURU.
Chanzo: UTV