PCCB inawahoji viongozi wanaounda baraza la wadhamini la CHADEMA

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Taasisi ya kupambana na rushwa inchini imesema kwa sasa wanawahoji viongozi wanaounda baraza la wadhamini la CHADEMA kufuatia tuhuma zilizotolewa na wabunge wanaokihama chama chama hicho kuwa wao ndio wenye mali za chama kwa mujibu ya katiba ya chadema ya mwaka 2006 iliyofanyiwa mabadiliko 2019.

Msemaji wa TAKUKURU amewaambia waandishi wa habari kuwa wamesha wahoji baadhi ya viogozi wanaohusika na fedha mara baada ya wabunge wa chama hicho kusema kuna pesa wametapeli.

Msemaji wa TAKUKURU anasema baada ya kuwahoji baraza la wadhamini wa chama watawahoji viogozi waliobaki

"Hapa kuna tuhuma kutoka kwa viongozi ambao ni wabunge na wametupa ushirikiano na sisi lazima tuchukue hatua" alisema msemaji wa TAKUKURU.

Chanzo: UTV

USSR
 
Siku hizi TAKO HURU wako makini kweli kweli kutii maagizo kutoka Jiwe.

Kwanini hawakuchukua hatua wakati walipopewa ushahidi wa wabunge kununuliwa na kwa viongozi wa serikali?

Joshua Nasar aliwapa ushahidi wa video,walivyokuwa ni watu wa hovyo wakautupilia mbali na wahalifu wanashinda hata sasa.

Hapo ndipo nilipojuwa kwamba hawa jamaa kumbe si TAKUKURU bali ni TAKO HURU.
 
Chanzo:
UTV

USSR
Yule CEO wa TAKUKURU ametoka kwenye chombo Cha juu (JWTZ) kinachoaminiwa na waTz lakini jamaa amepwaya na kufeli mapema Sana....kwa ufupi jamaa ni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi TAKO HURU wako makini kweli kweli kutii maagizo kutoka Jiwe.

Kwanini hawakuchukua hatua wakati walipopewa ushahidi wa wabunge kununuliwa na kwa viongozi wa serikali?

Joshua Nasar aliwapa ushahidi wa video,walivyokuwa ni watu wa hovyo wakautupilia mbali na wahalifu wanashinda hata sasa.

Hapo ndipo nilipojuwa kwamba hawa jamaa kumbe si TAKUKURU bali ni TAKO HURU.
Mbona unaenda mbali sana huko! Yule wa kushangaliwa mkutanoni na wakaagizwa antenna zao zielekee huko si bàdo anakula chakula cha kununua badala ya chakula cha bure?
 
Yaaani ni Hadi aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna pesa kibao zimeibwa hapa kunamtu lazima aziteme
Siku hizi TAKO HURU wako makini kweli kweli kutii maagizo kutoka Jiwe.

Kwanini hawakuchukua hatua wakati walipopewa ushahidi wa wabunge kununuliwa na kwa viongozi wa serikali?

Joshua Nasar aliwapa ushahidi wa video,walivyokuwa ni watu wa hovyo wakautupilia mbali na wahalifu wanashinda hata sasa.

Hapo ndipo nilipojuwa kwamba hawa jamaa kumbe si TAKUKURU bali ni TAKO HURU.
 
Kuna shida pahara kutoka kupinga ufisadi hadi kuutetea ufisadi
Mbona unaenda mbali sana huko! Yule wa kushangaliwa mkutanoni na wakaagizwa antenna zao zielekee huko si bàdo anakula chakula cha kununua badala ya chakula cha bure?
 
Taasisi ya kupambana na rushwa inchini imesema kwa sasa wanawahoji viongozi wanaounda baraza la wadhamini la CHADEMA kufuatia tuhuma zilizotolewa na wabunge wanaokihama chama chama hicho kuwa wao ndio wenye mali za chama kwa mujibu ya katiba ya chadema ya mwaka 2006 iliyofanyiwa mabadiliko 2019.

Msemaji wa TAKUKURU amewaambia waandishi wa habari kuwa wamesha wahoji baadhi ya viogozi wanaohusika na fedha mara baada ya wabunge wa chama hicho kusema kuna pesa wametapeli.

Msemaji wa TAKUKURU anasema baada ya kuwahoji baraza la wadhamini wa chama watawahoji viogozi waliobaki

"Hapa kuna tuhuma kutoka kwa viongozi ambao ni wabunge na wametupa ushirikiano na sisi lazima tuchukue hatua" alisema msemaji wa TAKUKURU.

Chanzo:
UTV

USSR
Chadema inaweza kufutwa!
 
Back
Top Bottom