PCB siyo tahasusi ya mchezo

Matokeo ya mwanafunz yanachangiwa na vitu vingi.
Ubora wa walimu, mazingira ya shule, utayari wa mwanafunzi kufaulu, nk

PCB ni moja ya combination zenye masomo yenye uzito. Urefu wa topics pamoja na uzito wake sio mchezo.
Kama alipata div 1 ölecek na akapata 2 advance sio mbaya amejitahid sana. Mtu wa HKL na H nyingine hawez kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…