PCB siyo tahasusi ya mchezo

Hao walikuwa wanalishwa na kukaririshwa namna ya kujibu mitihani, mm huwa najiuliza, ivi wale mabinti wa St Fransis huwa wanaishia wapi A level?
 
Hao walikuwa wanalishwa na kukaririshwa namna ya kujibu mitihani, mm huwa najiuliza, ivi wale mabinti wa St Fransis huwa wanaishia wapi A level?
To wa 2021 acsee PCB alimaliza st Francis csee 2018 alikua best student pia
 
Kwanini iwe rahisi advance kuliko form four!?, Wakati form four ndo rahisi kimtazamo,ikoje hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…