Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,816
- 58,461
Ety seriously mi nasoma kama kuku atazaa vifaranga vyenye vishingo au laa..upuuzi wa shule ni kukaririshwa vityu ambavyo hukutani navyo kwenye maisha ya kawaida๐
Mm biology ndo sehem ya kupumzikia, chemistry ilinifanya vibaya mno๐๐๐ SEMA nilisoma CBGKuna kitu kinaitwa glycolysis stage ..
Ukisoma kwenye BS zipo saba.
Likija pepa linataka tisa mpaka 12 maninaaaaa..
Ujakaa kidogo unakutana na genetics mambo ya pannet square manina
Sijui kuku mwenye kijogoo kataga mayai yenye kishingo.. usenge mtupu
Ulipiga ngapi pcb we dogoEty seriously mi nasoma kama kuku atazaa vifaranga vyenye vishingo au laa..
Manina.... Yaani PCB kwangu ilikua jau sana nimeteseka mimi wakuu
UongoPCM, ๐
Ndo hivyo ila nilifeli physics nikapata E nikakosa engineering nikaenda kwingine ๐Uongo
Hahahah aisee nilijua tuNdo hivyo ila nilifeli physics nikapata E nikakosa engineering nikaenda kwingine ๐
Hahaha nimekaa kindezi sio? Sema kila kitu nakusudi lake ningesoma engineering ingekua ngumu sana kujiajiri chap chap from 0 na kuanza kupiga visumni kila kitu kina sababu yake.Hahahah aisee nilijua tu
Mbona hata mimi nina wani ya nane, kwahiyo umejiajiri kama chinga au??๐Hahaha nimekaa kindezi sio? Sema kila kitu nakusudi lake ningesoma engineering ingekua ngumu sana kujiajiri chap chap from 0 na kuanza kupiga visumni kila kitu kina sababu yake.
N.b Nina division I ya 8 shaurilo
Hahaha chinga ya mitandaoni ๐ we ulipiga combi gani?Mbona hata mimi nina wani ya nane, kwahiyo umejiajiri kama chinga au??๐
Nakutania tu
Cbg๐๐ aiseeHahaha chinga ya mitandaoni ๐ we ulipiga combi gani?
Mitandaoni labda jf, insta hawawezi kukuamini ๐ฅฑHahaha chinga ya mitandaoni ๐ we ulipiga combi gani?
Kombi isiyo na ushirikiano chuo umesomea kilimo au daktari wa mifugo?Cbg๐๐ aisee
Hahah nimesomea veterinary ๐๐๐Kombi isiyo na ushirikiano chuo umesomea kilimo au daktari wa mifugo?
Wataaminije kama mtandao umejaa matapeli ๐Mitandaoni labda jf, insta hawawezi kukuamini ๐ฅฑ
Veterinary ya mbwa? ๐ฉ๐ถ Eeh ndo ipoje hiyo?Hahah nimesomea veterinary ๐๐๐
Hahaha ya mifugo sio mbwa mkuu, sema ni ngumu balaaa๐ฅถ๐ฅถVeterinary ya mbwa? ๐ฉ๐ถ Eeh ndo ipoje hiyo?
Walisababisha situmii fbWataaminije kama mtandao umejaa matapeli ๐