PC yangu ina tatizo hili "Plugged in, not charging"

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,632
Binafsi nilijaribu kubadili battery nikaweka lingine ila tatizo likabaki lilelile,nikaamua kubadili adapter ila still tatizo likabaki lile lile.

Kwa wataalamu naomba msaada katika kutatua hili tatizo
 
Same problem also I am experiencing with my PC.What are solutions JF thinkers?.
 
Ungeelezea kidogo tatizo lilianzaje na computer yako ni aina gani,itatoa mwangaza kwa anayetaka kukusaidia

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mtu mweusi mwenzoni nilikuwa natumia battery ambayo ilionyesha kuwa imepoteza uwezo wa kutunza chaji.
Nilibadirisha na kuweka mpya lakini tatizo lilionekana kuendelea.PC yangu ni Del VOSTRO MODEL 1015.
 
Ungeelezea kidogo tatizo lilianzaje na computer yako ni aina gani,itatoa mwangaza kwa anayetaka kukusaidia

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Dell LATITUDE |E6410
 
Binafsi nilijaribu kubadili battery nikaweka lingine ila tatizo likabaki lilelile,nikaamua kubadili adapter ila still tatizo likabaki lile lile.

Kwa wataalamu naomba msaada katika kutatua hili tatizo
...
.. inaelekea moja ya pin tano za kupokea plug za battery imepoteza mawasiliano. Vipi battery inakuwa charged ? ..

Plug terminal za kupokea umeme ..
...ztakuwa na tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mi napata yatizo hilo kwenye pc yangu lakini nimegundua tatizo ni adoptor kuna baathi ya nyaya za ndani zimeachia lakini ukiigeuza geuza inaingiza umeme na kucharge betri kama kawaida..
 
...
.. inaelekea moja ya pin tano za kupokea plug za battery imepoteza mawasiliano. Vipi battery inakuwa charged ? ..
...
No,ila battery nikipeleka kwenye PC nyingine ina charge tena hata kwa kutuia adapter ile ile
 
Hapo toa vtu vyako afu uza tuu bei poa nunua ingine jombaa
Zikianzaga hzo pc ndo shda hua nazo haziiishi

Af ununuage hp dell weng WANALALAMA sana jombaa
 
Mkuu nliwahi kutana na tatzo kama hilo, soln ni kubadili OS(opareting system), than lete mrejesho

from Katesh using Siemens C55
 
Mkuu jana nilibadili OS ila haijasaidia kitu
 
Back
Top Bottom