Pc ukiwasha inawaka taa ya stand by tu....

Pc ukiwasha inawaka taa ya stand by tu....

brazuka

Senior Member
Joined
May 30, 2014
Posts
159
Reaction score
257
Wakuu msaada tangu juzi nkiwasha pc yangu inawaka taa ya njano (standby) afu mlio flan kwa mbali siuelewi nin cha kufanya kabla kuchek na mafundi
 
Wakuu msaada tangu juzi nkiwasha pc yangu inawaka taa ya njano (standby) afu mlio flan kwa mbali siuelewi nin cha kufanya kabla kuchek na mafundi

nakushauri ukiwa na tatizo unatakiwa ujieleze vya kutosha ili upate msaada kwa mfano hiyo pc yako aina gani spcs zake zikoje tatizo limeanza vipi mtu anaangalia jinsi ya kukusaidia
 
Back
Top Bottom