Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,228
- 44,232
hizo ndio best laptop duniani kwa wafanyabiashara, hazina feature za kimauzo ila zina vitu muhimu wafanyabiashara kamaHivi mkuu laptop za lenovo thinkpad zina kitu gani cha ziada mbona ghali sana?
Hii PC(Dell xps13) naitafuta sana, let's say i3, bt bei yake sijajua ni kama sh ngp?pc zipo tofauti sana aina moja tu ya pc inaweza kuwa na aina ndogo ndogo karibia 20 ambazo zinakidhi mahitaji tofauti tofauti hivyo siwezi kukwambia kanunue pc fulani bila kujua unaenda ifanyia nini na una budget kiasi gani.
mfano mzuri angalia dell xps 13 zipo version za core m, i3, i5, i7 na hizo version hapo zipo za broadwell na skylake na zipo za 4gb, 8gb na 16gb na zipo zenye touch na zisizo na touch na zipo zenye resolution full hd na QHD hivyo ukifanya hesabu hapo unapata aina 96 (makisio tu)
laptop moja inaitwa dell xps 13 lakini ina aina tofauti tofauti kibao
nimekupata mkuu ndio ina wi fi sema kuna app ya host wifi nlidownload ikanambia kwanza niingize .NET halaf hiyo wifi adapter ili iweze hushare internet sasa hapo nkakwama.wifi inayo cheki driver hapa.
Drivers & Software for HP Compaq 6910p Notebook PC - HP Support Center.
kuhusu kueka windows 8/10 inawezekana sababu pc yoyote ya vista inakubali hizo os ila sikushauri sana kueka sababu ya support ya driver itakuwa hakuna utasumbuka.
hivyo kuheat ni kawaida kwa mashine ya core 2 duo hasa kama yako yenye watts 35 hakikisha tu uwe unaieka mazingira mazuri yenye upepo ili isijibane sana
Mkuu hio ni brand kubwa sana katika tasnia ya computer na wana legacy katika uundaji wa computer zenye hardware nzuri na imara mno, Hopefully ushawahi sikia waasisi wa mwanzo katika ulimwengu wa pc kuwa ni IBM. Hizo ndio kompyuta zilizokuwa zinatumika katika taasisi kubwa kubwa za kisayansi ulimwenguni miaka mingi from 1880's mpaka leo wanatengeneza mashine kwa ajili ya makampuni ya kibiashara. IBM hakuwa na mpinzani mpaka pale apple walipokuja na MACINTOSH in early 1980's.Hivi mkuu laptop za lenovo thinkpad zina kitu gani cha ziada mbona ghali sana?
Aisee nilisoma hiyo kitu kuhusu IBM ndo nikaanza heshimu kampuni ya LenovoMkuu hio ni brand kubwa sana katika tasnia ya computer na wana legacy katika uundaji wa computer, Hopefully ushawahi sikia waasisi wa mwanzo katika ulimwengu wa pc kuwa ni IBM. Hizo ndio kompyuta zilizokuwa zinatumika katika taasisi kubwa kubwa ulimwenguni miaka mingi nyuma mpaka pale apple alipokuja na mac na kuanza kuleta ushindani. Mnamo 2005 IBM aliachia kijiti kwa kuuza biashara kwa kampuni ya Lenovo ambao wameendelea kuleta product za kiwango kile kile cha IBM ila wamejitahidi kutanua soko zaidi na kuongeza product nyingine ambazo mwanzo hazikuwepo kama simu n.k
I run tena hio app halafu angalia ni. net ipi nikupe linknimekupata mkuu ndio ina wi fi sema kuna app ya host wifi nlidownload ikanambia kwanza niingize .NET halaf hiyo wifi adapter ili iweze hushare internet sasa hapo nkakwama.
core m ni nzuri lakini kuliko i3, bei yake ya kuanzia ni dola 799 ambayo inakuja kama milioni 1 na laki 7 hivi.Hii PC(Dell xps13) naitafuta sana, let's say i3, bt bei yake sijajua ni kama sh ngp?
naheshimu IBM mkuu nlikua sijui basi ntakua karibu na bidhaa za lenovo. (kama nokia tuu)Mkuu hio ni brand kubwa sana katika tasnia ya computer na wana legacy katika uundaji wa computer zenye hardware nzuri na imara mno, Hopefully ushawahi sikia waasisi wa mwanzo katika ulimwengu wa pc kuwa ni IBM. Hizo ndio kompyuta zilizokuwa zinatumika katika taasisi kubwa kubwa za kisayansi ulimwenguni miaka mingi from 1880's mpaka leo wanatengeneza mashine kwa ajili ya makampuni ya kibiashara. IBM hakuwa na mpinzani mpaka pale apple walipokuja na MACINTOSH in early 1980's.
Mnamo 2005 IBM ndipo aliachia kijiti kwa kuuza biashara kwa kampuni ya Lenovo kwa makubaliano ya kuendelea kuleta product za kiwango kile kile cha IBM ila wameenda mbele zaidi kwa kutanua soko zaidi na kuongeza innovation na products ambazo mwanzo hazikuwepo kama simu n.k
Kuhusu Thinkpad ilikuwa ni brand iliowakilisha laptop p.c za IBM ila kwa sasa inatumiwa na Lenovo katika msingi ule ule ikiwa ni laptop za lenovo.
sawa mkuu.I run tena hio app halafu angalia ni. net ipi nikupe link
Hizi hapaspecs za pc bonyeza start/search halafu andika dxdiag then click hicho kiprogram kitakachotokea utaziona
au nenda my computer halafu right click then properties pia utaziona
ni ngumu kwangu kukutajia sababu laptop moja inakuwa na variety nyingi hadi uangalie mwenyewe
ndio inafaa na games nyingi zitachezaHizi hapa
View attachment 354557
Vipi hii mashine kiongozi, inafaa kwa matumizi ya kawaida? pia magemu kama yapi inaweza kuyamudu bila shida?
cc; ymollel