pc kuingiwa na maji

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Laptop imeingiwa na maji, hapa ata sijaiwasha nmeifuta tu basi

Vipi wakuu natakiwa nichukue hatua zipi zingine niokoee hii device
 
Iweke kwenye mchele izame yote! nikisema mchele unaelewa alafu iache ikae huko kwa muda
 
Back
Top Bottom