Cha msingi angalia feni ya pc yako ipo upande gani kama ipo chini basi unapo iweka kitandani haito weza kupumua au kutoa hewa ya joto ndani inapo fanya kazi, ila kma feni yake ya kupumulia ipo pembeni sio mbaya ina kuwa na unafuu wa kupata hewa
View attachment 267400 mfano kaa hii haifai kuwekwa kitandani fan yake ipo chini so itakapo zibwa na kitu kama gondoro au shuka kitandani pc yako ita overheat na kupata madhara
View attachment 267402 hii fan ipo pembeni ipo safe ukikaa nayo kitandani koz inauwezo wa kupumuz kwa upande japo ni muhimu pia kuhakikisha iwapo kitandani tundu lake halija zibwa na chochote.
hayo ndio maoni yangu wengine wa changie pia. asante