PC ina freeze baada ya ku update Display Adapters

Mkuu mimi mwenyewe pia nahakika hatua ya kupiga window ina asilimia kubwa za kuleta mabadiliko, ila humu kuna program na vitu vyangu vingi ambavyo imenichukua muda mrefu kuviweka.

Na hata nikipiga leo windows nitakuwa nimepoteza mambo mengi na kuyarudisha ni swala la muda tena
Naelewa mkuu, basi jaribu hiyo option nyengine
 
I have finally fixed my issue

Nime change VGA Cable and things are going perfect fine

Thanks for commenters
 
Kwanza kwanini una drivers mbili za intel?

Un install zote hizi intel HD manual download toka site ya intel latest version

Nachomekea swali mtaalamu laptop yangu ikiisha chaji bila kuwq plug nikija kuwasha inaniandikia bootdevice kwanini mkuu
 
Back
Top Bottom