Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,262
- 44,385
nvidia gt520 1gb
baadhi ya engine hazikubali kubadili resolution kwenye game ila zinakuwa na config file ambalo unafungua na notepad na kuedit hizo details.nvidia gt520 1gb
nimegoogle hapa assasin creed 3 engine yake inaitwa anvil kuchange resolution fuata step za hii link
Can I Change the Resolution from Outside the Game?
kila engine ina namna yake, mimi nacheza games za 2016 kwa zaidi ya 30fps gpu yangu ni hd 4600 tu, sijawahi kutana. na game lisilocheza.