Wadau kuna mtu anatumia nbc kwenye pay pal nimekuwa refunded pesa yangu ila sioni kama kuna mtu imewahi kumkuta hii hali anisaidie alifanyaje??
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
ukiona zimepita zaidi ya siku saba hauoni hela wafate kuna department benki zote zinahusiana na Online transaction...
Hao ndo ukiwapa vielelezo e.g Copy printed ya email ya refund ulotumiwa na Paypal