Paypal ni kuhusu malipo tu wala sio maswala ya manunuzi (shopping)wakuu salamun
Naombeni mnisaidie jambo moja kuhusu PayPal, nilikuwa najisajili lakini nikajikuta nimeandika jina LA mkoa badala ya jina LA wilaya inamaana Kama nitanunua chochote basi kitatumwa mkoani Na sio wilayani,katika kutafuta njia ya kuedit nikagundua kuna ugumu kidogo kuedit primary address japo kuna uwezekano wa Ku add address mpya, wakuu Kama kuna mwenye kujua namna ya kuedit basi anipe mwanga
Wa salaam
Slave jf
kuedit add adress ingine, ifanye primary alafu futa ya zaman.wakuu salamun
Naombeni mnisaidie jambo moja kuhusu PayPal, nilikuwa najisajili lakini nikajikuta nimeandika jina LA mkoa badala ya jina LA wilaya inamaana Kama nitanunua chochote basi kitatumwa mkoani Na sio wilayani,katika kutafuta njia ya kuedit nikagundua kuna ugumu kidogo kuedit primary address japo kuna uwezekano wa Ku add address mpya, wakuu Kama kuna mwenye kujua namna ya kuedit basi anipe mwanga
Wa salaam
Slave jf
haaaaa mkuu na wewe umekuja huku Karibu JamiiForums ni Zaidi ya FesiBukuBoss muvika niaje
Login kwa account yako then my account utakuta withdraw click hiyo itakupa option ya account number unakota iendepaypal Pasua kichwa kwangu nina mi dollar ila nimeshidwa jinsi ya kuzitoa
inatumwa kwa njia ipi benk au? na kuna makato yoyote?Login kwa account yako then my account utakuta withdraw click hiyo itakupa option ya account number unakota iende
Fungua account ya trading za bitcoin then ununue bitcoin kupitia paypal,then uza bitcoin kwa watu wengine upate pesa yakopaypal Pasua kichwa kwangu nina mi dollar ila nimeshidwa jinsi ya kuzitoa
mkuu hiyo biashara mpaka sasa naifanya na ndio maana pesa zimo ndani ya paypal nataka nizitoeFungua account ya trading za bitcoin then ununue bitcoin kupitia paypal,then uza bitcoin kwa watu wengine upate pesa yako