PayPal to Perfect Money

tcoal9

JF-Expert Member
Apr 5, 2009
248
62
Msaada tafadhali.

Je ni site/njia ipi salama inakubali malipo Toka Paypal ili ku_diposite katika Perfect Money Account.

Nawasilisha kwenu wana JF.

:help::help:
 
Kwa wale ambao mnataka PM ndogo tu na sio nyingi
Ni PM ntakuuzia PM kama ya kununulia Sandwich VPN
 

Mkuu hii elimu ya eCommerce wengi wetu bado sana. Tunategemea mwongozo na msaada toka kwenu.

Mkuu nyerere nashukuru lkn transaction nayotaka niwe nafanya inakubali PM tu lkn option ya payza nimeipenda naona nitengeneze payza afu ntatafuta kampuni ya ku transform payza to PM
Hii nukuu nimechukua kwenye hiyo link hapo juu

Je kampuni ipi ilikufanikishia payza to PM
 
Mkuu hizo "PM credits" ulizipata vipi? , Funguka kidogo mkuu, Je umetumia njia ipi?. Aksante

nisidanganye hadi napata PM Credits nilihaha kinyama
Soln ninayo iona ni cheap ni hiyo link niliyokupa we subiri 24hrs

Mm PM credits nilizichukua kwa jamaa angu uko philipines na yeye akuwa na amount nyingi hivo mchizi mwingine Nigeria alikuwa na shida ya PayPal hivo tukabadilisha

REGARDS
 
Back
Top Bottom