WANAJAMVI me natumia visa kenye tembo card ya crdb,nimejiunga paypal bila tatizo ila ishu inakuja kenye kulink my card na paypal.. kuna error inatokea inanambia my billing adress doesn't match to my card chakushangaza nimejaza kila kitu sawa.. nimekwenda crdb ofisin ila sijapata msaada wa maana.. wamenipa form nijaze ya manunuz online baada ya hapo nothings works... naomba msaada wenu
Mkuu internet banking ya crdb ni huduma nyingine tofauti kabisa na mtoa hoja alivyoainisha. Hapa kwenye hii mada inazungumziwa tatizo la ku-link paypal account na kadi ya crdb(visa/master). Kama ambavyo mdau mmoja hapo juu alivyoeleza,ukishafungua account ya paypal, hatua inayofuata ni ku-link kadi yako na paypal account. Paypal watacharge kama usd 1 au 2 toka kwenye account yako, na watakwambia uende bank yako ukaombe statement ambayo itaonyesha reference ya hiyo transaction. Mwishoni mwa hiyo reference utaona code(4 digits) ambazo hizi ndio muhimu kwako, kwani utakapokuja kulogin kwenye paypal ukienda sehemu ya kuverify card yako watakutaka uingize hizo code.Same problem, nimefwata all procedures hapo tu ndipo nikagotea. Nikikosa msaada kabisa naenda na mashine pale crdb wanisaidie wao. Kama ulijaza form kuna namba watakutumia kwenye simu na axtivation message kwenye email yako, pamoja na maelezo ya kuactivte your acc for internet banking
Mkuu internet banking ya crdb ni huduma nyingine tofauti kabisa na mtoa hoja alivyoainisha. Hapa kwenye hii mada inazungumziwa tatizo la ku-link paypal account na kadi ya crdb(visa/master). Kama ambavyo mdau mmoja hapo juu alivyoeleza,ukishafungua account ya paypal, hatua inayofuata ni ku-link kadi yako na paypal account. Paypal watacharge kama usd 1 au 2 toka kwenye account yako, na watakwambia uende bank yako ukaombe statement ambayo itaonyesha reference ya hiyo transaction. Mwishoni mwa hiyo reference utaona code(4 digits) ambazo hizi ndio muhimu kwako, kwani utakapokuja kulogin kwenye paypal ukienda sehemu ya kuverify card yako watakutaka uingize hizo code.
Changamoto iliyopo hapa ni kwamba transaction hii huchukua siku kama 3 kuonekana kwenye akaunti yako. Ingawa ukienda bank(crdb) hata kabla ya siku hizo 3, kuna namna ambayo wenyewe wanaweza kuona hiyo transaction reference. Na vilevile si wafanyakazi wote wa bank(crdb) wanaoelewa mambo ya paypal kwani hamna mkataba au mahusiano ya moja kwa moja kati ya bank(crdb) na paypal.