Huwezi pokea pesa kwa Tanzania toka Paypal.inayowezakupokea pesa Tanzania.
Vipi ukitumia trick mkuu.manaake kuna mtu kanipa trick nimewezesha paypal yangu kupokea na kutuma kwa kutumia taarifa zangu . Nimetumia licence driving, nimeweza verify no.sijatumia vpn yoyote.Huwezi pokea pesa kwa Tanzania toka Paypal.
Utapokea fedha mara kadhaa, Then account itakuwa blocked. Na kama uliweka nchi kenya watahitaji uthibitisho.Vipi ukitumia trick mkuu.manaake kuna mtu kanipa trick nimewezesha paypal yangu kupokea na kutuma kwa kutumia taarifa zangu .
Uthibitisho nimewapa na nimecomfirm nimeweka lesen ya udereva manaake walitaka kitambulisho cha udereva au cha uraia.kuna sehem mbili tu ndio sensitive.nimetumia nchi ya uphilipine kujisajili.Utapokea fedha mara kadhaa, Then account itakuwa blocked. Na kama uliweka nchi kenya watahitaji uthibitisho.
Hii ndio sababu account yako inaweza kupokea fedha.nimetumia nchi ya uphilipine kujisajili.
Hapo sawa mzee.kuhusu kuwa blocked na kuhitaji uthibitish o taarifa nilizotumia ku create ac ni zangu. Na sahihi but kuna ka trick kadogo inabidi ucheze ili taarifa zako zikubaliwe katika kuverify.kama no ya uphilipine ambayo utahitaji comfirmition pamoja na zip code yake.Hii ndio sababu account yako inaweza kupokea fedha.
Kuna siku watataka uverify location yako yani uweke kitambulisho chenye details sawa na ulizoweka ndipo patamu hapo kama una ela ndani yake wataihold.Hapo sawa mzee.kuhusu kuwa blocked na kuhitaji uthibitish o taarifa nilizotumia ku create ac ni zangu. Na sahihi but kuna ka trick kadogo inabidi ucheze ili taarifa zako zikubaliwe katika kuverify.kama no ya uphilipine ambayo utahitaji comfirmition pamoja na zip code yake.
Mkuu nimeweka kitambulisho changu yaani nimeweka taarifa zangu sahihi sijafake taarifa.yoyote ile zaidi ya kufake nchi na no ya simu ambapo no ya simu ya uphilipine ninayo inayopokea sms na call.paypal wapo very sensitive sana kwenye security. Kama utakuwa tayari nikutumie maelezo yotee hadi wasihold hela yako au hata wakihold unawapa taarifa sahihi coz detail zote unazoweka pale ni legitKuna siku watataka uverify location yako yani uweke kitambulisho chenye details sawa na ulizoweka ndipo patamu hapo kama una ela ndani yake wataihold. Kufungua akaunti ya paypal ukadanganya rahisi sana hata useme uko wapi mwanzo hata hawahitaji kitambulisho, ila unavyozidi pokea pesa ndipo watataka uverify details zako.