Sawa mkuu yeye akipokea email atapaswa kwenda bank ama?Hongera Mkuu!.
Muombe email na Majina yake kama hauna, then utaingia kwa Account yako ya Payoneer, utatuma Special payment request kwa Client yako, ikitaja mpaka kiwango unachotegemea kupokea!
Poa boss thanksHapana MKUU, atalipa online tu!
Mkuu unafanya nini mpaka kupata card, je ukishafungua unaaply for card inakuaje? Na je inachukua minachukua muda gani mpaka kukufikia tangu unapofungua account?Mkuu Mimi Jana nimepokea kadi tangy ya MasterCard ya payoneer na nimei activate successfully. Hii card juu yake ina langu na digits 16. Sasa unataka kunitumia hela kutoka say South Africa au US, no information gani unahitaji kutoka kwangu ili uweze kunitumia hiyo hela? Maana A/C # sijaiona.
ndio mm nnaswali mana nilikua nhitaji paypal ila nahisi bado cjapata ufafanuzu zaidi ila nna rafikiangu kutoka us kaniambia nijiunge n payoneer n kanipa link lakini nikioanisha n hii yako naona hazifanani n hata katika ufungukaji pia kuna vitu vinatafautiana kwa kusibitisha apa nnapo fanya uchapisho huu nimezifungua zote kwa pamoja najaribu kuangalia kw umakini zaidi mfano link yako ina toa dolla $25 ya bonus pindi tu ukijisajili yani ukufungua account n alio nitumia rafiki yangu haina iyo bunas lakini hiyo inaonyesha shot clip pc zikitembea asa najiulia au kwakua link yako n yamda kidogo n hii alio nitumia rafiki yangu n new vision au laaHabari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.
Una swali au chochote Karibu.
https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Karibu.
Kuhusu 'MONEY WITHDRAW' ... YES mkuu Transparen, utaweza kutoa pesa from Payoneer to Local bank.
Basically, Ukishajisajiri (sign up) Payoneer, watakupatia vitu viwili:
1. Payoneer Account (ambayo ni online/mtandaoni), na
2. Payoneer Master Card. (watakutumia Card yenyewe kabisa real kwa njia ya Posta).
Sasa umefanya mambo yako mtandaoni... mfano umeuza kitu fulani mtandaoni na mteja akakulipa kwa Payoneer, ama rafiki yako yupo nje ya nchi akakutumia pesa kwa Payoneer, n.k , that means pesa itaingia kwenye online Payoneer Account yako. Kwamba unapo-sign in or ku-log in utaona kiasi cha pesa kilichomo humo (balance/salio) mfano USD 200 ama GBP 150 ama EURO 125 (it depends alikutumia kwa currency ipi).
Kisha, utaweza kuitoa (withdraw) humo hiyo pesa kwa namna/njia mbili :
- Kuichomolea kwenye ATM yoyote inayosupport Master Card, popote pale duniani, kwa kutumia hiyo Payoneer Master Card. Card hii itachomoa currency ya nchi husika, mfano ukitolea kwenye ATMs za hapa Tanzania itatoa Tsh, ama ukisafiri ukaenda kutolea kwenye ATMs za Kenya itatoa Ksh, n,k popote pale duniani. Kuhusu njia hii, mkuu Powder ameshaielezea vizuri sana mara nyingi tu.
Sasa basi, ni jinsi gani ya kuhamisha pesa from Payoneer Account to your/any local bank account ?
- Kuihamisha pesa from Payoneer Account to any local bank account. Kwamba utatoa pesa kutoka kwenye Payoneer Account na kuiingiza kwenye Local bank account yako. Upo huru kuiingiza kwenye ANY local bank account.
Imeelekezwa vizuri sana step by step kwenye hii link ya Payoneer (maelezo, na video pia ipo): [VIDEO] How to withdraw funds from Payoneer to your bank account - The Payoneer Blog
-Kaveli-
- Log-in / Sign-in to your Payoneer Account,
- From the menu, go to Withdraw >> To Bank Account,
- Select the currency balance you want to withdraw funds from, (mfano kama Payoneer Account yako ina more than one currencies).
- Select the bank account you want to send funds to / Enter the bank account number you want to send funds to,
- Enter the amount you want to withdraw,
- Click REVIEW. The withdrawal summary will be displayed,
- Review the details of your withdrawal and make sure everything is correct. If you need to change anything, click Edit and make the necessary changes,
- After you’re sure that all is correct, mark the checkbox I approve this transaction and click Withdraw .
- That’s it! You will receive an email confirmation after completing the withdrawal and your funds will be available in your bank account within 3-5 business days.
NinakuulizaUnauliza? ama unaeleza?
-Kaveli-
Ninakuuliza
Mzee kwanza nashukuru sana kwa msaada. Swali langu je naweza kufungua payoner then bila ya kuwa na kadi yao nikapokea pesa kwenye akaunt yangu na kuhamisha kwenye local benk yangu iliyoko nchini?Habari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.
Una swali au chochote Karibu.
Payoneer | Get Paid by Marketplaces & Direct Clients Worldwide
Unaweza Mkuu.Mzee kwanza nashukuru sana kwa msaada. Swali langu je naweza kufungua payoner then bila ya kuwa na kadi yao nikapokea pesa kwenye akaunt yangu na kuhamisha kwenye local benk yangu iliyoko nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nime-order kadi ya payoneer, wameiship tayari, shida nilikosea adress ila kadi inafika mwezi wa nne . Nifanyeje ili niipate? Adress niliyoandika ni ya mtu simfahamuView attachment 468968 View attachment 468968 Payoneer Master card yako itakuwa Kama hivyo, itakua Na jina lako kamili Kama hii inavyoonekana!
Mods naomba mnisaidie Ku edit Na kupachika hii Picha mwisho wa Thread hapo juu!
Oya mkuu naomba nisaidie Sina national id, passport, Wala driver license je nikitu gani naweza kuweka payoneer wakaniverifyMkuu nime-order kadi ya payoneer, wameiship tayari, shida nilikosea adress ila kadi inafika mwezi wa nne . Nifanyeje ili niipate? Adress niliyoandika ni ya mtu simfahamu
Sent using Jamii Forums mobile app