wilbert peter
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 244
- 221
Pesa uliyokatwa inaenda kujenga bwawa la umeme.Wakuu,
Nimecheki mshahara wangu nakuta pungufu ya 50,000.
Nimemwuliza mwezangu na wengine wa taasisi zingine nao hivyohivyoo!!
Inakuaje mishahara inakatwa bila taarifa?