Pay stubs za mshahara wa Rais

Nasubiri kuziona hizo pay stubs za mshahara wa rais na asiishie hapo tu. Atuambie malipo yake yote yanayogharamiwa na walipa kodi
Utasubiri kama ambavyo hadi leo wakristo wote duniani tunaamini Yesu Kristo atakuja kutuokoa zambi zetu. Endelea kusubiri
 
Bado sijasahau hili....hizo pay stubs ziko wapi?

..inawezekana ni WAPAMBE ndiyo walimjibia wakitegemea with time suala hili litapotea.

..bahati mbaya wapo ving'ang'anizi wenye kumbukumbu nzuri kama wewe.
 
Ubaya ni kwamba hakuna sheria inayolazimisha hayo malipo ya viongozi yawekwe wazi.

Sijui kwa nini tu bunge na wabunge wake hawalitilii maanani hili suala kwa sababu ni suala la uwazi kuhusu matumizi ya pesa za walipa kodi.
 
..inaweza kuleta chuki baina yao na wananchi.

..waTz wengi wanachukia watu wenye kipato kikubwa.
 
Tumefundishwa vibaya kweli watz, yaani walio wengi hawaamini katika mafanikio yaliyo halali... hii hupelekea watz wengi kumuona kila mwenye mafanikio/ pesa kama mwizi. Material poverty has never been virtue. Kuwa masikini sana huleta manung'uniko muda wote!
 
..nadhani hata yeye ana mtizamo huo ulioueleza hapo juu, ingawa yeye binafsi siyo maskini.
 
Sijui kwa nini Sizo anamtazamo hasi kwa matajiri au wenye uwezo kidogo tu ili hali yeye amejilimbikizia mali ya kutosha sana!!!
..nadhani hata yeye ana mtizamo huo ulioueleza hapo juu, ingawa yeye binafsi siyo maskini.
..nadhani hata yeye ana mtizamo huo ulioueleza hapo juu, ingawa yeye binafsi siyo maskini.
 
Nachojua anavuta ya mtangulizi wake Milioni mianne.
 
..inawezekana ni WAPAMBE ndiyo walimjibia wakitegemea with time suala hili litapotea.
Imagine tulivyosahau makinikia na Issue ya Bashite.
..bahati mbaya wapo ving'ang'anizi wenye kumbukumbu nzuri kama wewe.
 
Hay, Jana Rais kadai mshahara wake ni million 9 tu!!

Mkuu, umeridhika au bado unataka uone payslip!!?
 
Mbinafsi,alafu utasikia mpenzi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…