wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 554
ukisikia watu wa eneo hilo kupatwa na mafuriko ni dhahiri bwawa la mtera limejaa maji sana mito mitatu inayoingiza maji mtera imejaa na inashindwa kuingiza maji kwenye bwawa linalozalisha umeme mtera.
inasemekana mpaka sasa hawajaanza uzalishaji umeme hapo.
sababu za figisufigisu za kufungua maji maksudi serikali imekuwa makini kwa hilo
inasemekana mpaka sasa hawajaanza uzalishaji umeme hapo.
sababu za figisufigisu za kufungua maji maksudi serikali imekuwa makini kwa hilo