Salamu sana wana CC wote,
Leo nimeamua nimtokelezee Paw;
Paw Kwa cheo chako naamini kabisa mara zote unachungulia humu JF.
Paw hivi unajisikiaji unapokutana na wana jf maarufu kama Arushaone, jme, Kibo10, ubwabwa2, OKW BOBAN SUNZU, lusungu Candid Scope
Wakiwa wamekauka kabisa kuchangia .......... Mkono mtupu haulambwi ........... unajisikiaje?
Pia kwa wale wengine ambao mmekauka kimyaaa
............Jamani amueni sasa, wakati ndio huu;
haaa. Kesi na mie. Wakili mkeo. Si nimeshafungwa tu jamani. Nisamehe.
hiviiiiii weeh Mamndenyi, alie-roast in pieces ni mke mwenzio ama mmeo? manake naona unajisogeza kwenye unga wangu, unga wenyewe robo! unachokoroa mzinga wa nyuki eeeh?
:fencing::fencing::fencing::fencing:
:boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing:
😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:
:target::target::target:
:mad2::A S-confused1::bange:

Nimekutana na watani zangu hapo mtaa wa kati, Jamani lipieni sasa, loooh Chris Lukosi Plato Mkuu wa chuo shosti Revolution Mr Kicheko LiverpoolFC ndetichia kabanga genekai lyinga Eiyer
Ni maamuzi murwa!!
Haaa. Kesi na mie. Wakili mkeo. Si nimeshafungwa tu jamani. Nisamehe.
Hiyo tisa kumi je umelipia?