PAW .......... Naongea na Wewe!!!

PAW .......... Naongea na Wewe!!!

Kumbe huwa nachangiaga eh, na ndio maan sijatajwa kuwa nimeadimika
Mamndenyi nakusalimia nikiwa nimeinama kama Mjapani
 
Last edited by a moderator:
Salamu sana wana CC wote,

Leo nimeamua nimtokelezee Paw;
Paw Kwa cheo chako naamini kabisa mara zote unachungulia humu JF.
Paw hivi unajisikiaji unapokutana na wana jf maarufu kama Arushaone, jme, Kibo10, ubwabwa2, OKW BOBAN SUNZU, lusungu Candid Scope

Wakiwa wamekauka kabisa kuchangia .......... Mkono mtupu haulambwi ........... unajisikiaje?

Pia kwa wale wengine ambao mmekauka kimyaaa
............Jamani amueni sasa, wakati ndio huu;
Wewe nawe kwa umbea....! Wengine tumechangia ila hatutaki status zetu zibadilike....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom