Paulo wa Tarso aliebuni Ukristo Baada ya Yesu

hadithi nzuri ila umesahau pia ya kwamba miaka 600 baada ya Kristo, Muhamadi naye akaanzisha uislamu wake …
Hapa inazungumzwa habari ya Yesu, wewe unaleta mambo mengine.
Anzisha uzi unao elezea habari ya Muhammad kuanzisha dini yake.
 
Ww hujasoma Biblia vyema ukaelewa acha kupotosha ase,Paulo hajawah kukutana na Yesu,alivyoenda dameski Nan alikutana naye???
Hii post inaonyesha wazi kuwa wakristo wengi hamuifahma vizuri dini yenu, wala hamusomi hiyo bible yenyewe.
 
Mkuu unaota wapi paulo aslikutasna na Yesu loh acha upotoshaji zingatia miaka ya yesu na ya Paulo
Mkuu wakristo wengi hawaifamh vizuri dini yao, na bible yenyewe anaisoma mchungaji tu, waumini wanapelekwa kama ling'ombe.
 
hadithi nzuri, usisahau ya Mtume Muhamad pia aliyeanzisha uislamu, hakuna nilipovamia kwani kuna uhusiano wa moja kwa kwa moja Mtume Paulo alikutana Yesu karibia na mji wa damaskus siria, wakati huo siria na damaskus zilikuwa Christian kabla ya Mtume Muhamad kuzaliwa kwenye karne ya 7 baada Kristo na kuvamia hizo nchi kijeshi na ndiyo ukawa mwisho wa Ukristo huko ingawaje siria bado kuna Christians wa kale mpaka leo hii hata hushereheka sikukuu ya Noeli au kuzaliwa Masia …
Hakuna mahala popote kwenye Dunia hii ambapo Yesu na Paulo walikutana, labda tusaidie kwa msaada wa maandiko kutoka kwenye hiyo bible.
 
Hapa inazungumzwa habari ya Yesu, wewe unaleta mambo mengine.
Anzisha uzi unao elezea habari ya Muhammad kuanzisha dini yake.

huwezi kuzungumzia Mtume Paulo bila ya kuuhusisha uislamu uliovamia hilo eneo, kwani wakati Mtume Paulo nchi kama siria, irak, uturuki, libya kote huko na hilo eneo lilikuwa ni Christian, baadaye miaka 600 iliyofuata Mtume Muhammad akazaliwa na kuanzisha uislamu ambao ukaja kuvamia hilo eneo na kuligeuza islamic mpaka leo hii …
 
Mkuu acha kuvamia mada zingine tujikite kwenye mada hi ya paulo.
Mkuu , ushauri wa busara kwako, unge-focus na dini yako unayoijua. Achana na usivovijua/vya kusimuliwa.
Nasema hivii sababu umekuwa ukianzisha mada zinazohusu ukristo/bible based on ur limited understanding kila mara.
 
Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya Kiyahudi. Katika muktadha huu, alijitokeza mtu mpya na wa utata: Paulo wa Tarso. Ingawa hakuwahi kukutana na Yesu wakati wa maisha yake, Paulo alikuja kuwa sauti yenye ushawishi mkubwa katika kubadilisha harakati ya Yesu kuwa dini tofauti iliyokuja kuitwa Ukristo.

🟥 Kuibuka kwa Ghafla kwa Paulo

Paulo (awali Sauli) anaonekana kwa mara ya kwanza katika rekodi za kihistoria kama mtesaji mwenye juhudi wa wafuasi wa Yesu. Kulingana na simulizi zake mwenyewe, uongofu wake wa kushangaza ulitokea kupitia uzoefu wa maono ambapo aliamini Yesu aliyefufuka alimtokea. Mnamo mwaka 48AD Paulo alianza safari zake za kimisionari na kuanza kuandika barua kwa jumuiya za waumini katika Asia Ndogo, Ugiriki, na Roma. Barua hizi zilitangulia Injili na ndizo nyaraka za kwanza zilizoandikwa katika Agano Jipya.

Muhimu zaidi, Paulo hajawahi kujieleza kama mwanafunzi wa Yesu au mwasilishaji wa mafundisho yake. Badala yake, alidai kupokea ujumbe wake moja kwa moja kupitia ufunuo.

Hakuzingatia mifano ya Yesu, mafundisho ya maadili, au ujumbe wake wa Ufalme wa Mungu. Badala yake, Paulo alisisitiza kifo na ufufuo wa Yesu kama njia ya wokovu wa ulimwengu mzima, inayopatikana kwa wote — hasa kwa watu wa Mataifa — kupitia imani pekee.

🟩 Uundaji wa Theolojia Mpya

Maandishi ya Paulo yalitambulisha dhana ambazo hazikuwepo katika mafundisho ya Yesu mwenyewe:

- Yesu kama Mwana wa Mungu wa milele.

- Wokovu kupitia imani, si kwa kufuata Torati.

- Kusulubiwa kama sadaka ya ulimwengu kwa ajili ya dhambi za binadamu.

- Kanisa kama jumuiya ya agano jipya, ikichukua nafasi ya Israeli.

Tafsiri ya Paulo iliifanya harakati ya Yesu kuwa ya ulimwengu mzima, ikiitenganisha na mizizi yake ya Kiyahudi. Alitangaza kwamba watu wa Mataifa wangeweza kuwa wanachama kamili wa watu wa Mungu bila tohara, sheria za chakula, au kuadhimisha Sabato.

Hii ilikuwa mapinduzi. Yesu alihubiri kwa "kondoo waliopotea wa Israeli," na ujumbe wake ulikuwa umejikita katika sheria na unabii wa Kiyahudi. Kwa upande mwingine, Paulo alijenga mfumo wa theolojia uliomgeuza Yesu kutoka kwa Masihi wa Kiyahudi hadi kuwa mwokozi wa ulimwengu mzima.

Kwa hivyo, Paulo wa Tarso alichukua jukumu muhimu katika kuunda Ukristo kama dini tofauti, akitofautiana na harakati ya awali ya Yesu ambayo ilikuwa imejikita katika Uyahudi.
mashetani wengi sana wameibuka kufanya juu chini kupotosha watu kuhusu Neno la Mungu, mojawapo ni wewe unaposema ukristo ulianzishwa na Paulo (saulo/sauli). Hiyo Matendo 11 hasa mstari wa 26 is not even referring to Paul, but to Peter; anayeongelewa hapo ni Petro, baada ya kuwahubiria mataifa (wasio wayahudi) na kuchangamana nao alishuka Yerusalem wenzake ambao walikuwa wanaamini kuchangamana na wasio wayahudi ni kuchangamana na uchafu walimsema sana. Yeye akawapa yale maono ya wanyama mbalimbali kutemlemka, nadhani kama uliwahi kusoma Biblia inaongelea ile issue ya Kornelio,na kwamba Mungu aliwaona wamataifa wanaomwamini sio wachafu.

MATENDO 11:23 - 26; Naye (Barnaba ambaye alikuwa mchungaji wa kanisa la antiokia uturuki), alipokwisha kufika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa kusudi la moyo. 24 Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana. 25 Kisha akatoka akaenda Tarso kumtafuta Sauli; 26 hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda wa mwaka mzima wakakusanyika pamoja na kanisa na kuwafundisha watu wengi. Na wanafunzi waliitwa Wakristo kwanza hapo Antiokia.
 
Wakristo wanafuata mawazo ya Paulo wanadhsani ni ya Yesu masikini sako gizani bila kujua.
ni vigumu sana kupotosha Biblia bila kuisoma, na ninajua mnaogopa mkiisoma mtapata ufahamu, shetani hawezi kuruhusu hiyo nafasi manake atawapoteza kwa ninyi kumwacha yeye na kumwamini Yesu Kristo kama mwokozi wenu.

icho kifungu juu ya nani na wapi waliitwa wakristo kwa mara ya kwanza, hakikummaanisha Paulo, ila Barnaba. MATENDO 11;23-26;
 
Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya Kiyahudi. Katika muktadha huu, alijitokeza mtu mpya na wa utata: Paulo wa Tarso. Ingawa hakuwahi kukutana na Yesu wakati wa maisha yake, Paulo alikuja kuwa sauti yenye ushawishi mkubwa katika kubadilisha harakati ya Yesu kuwa dini tofauti iliyokuja kuitwa Ukristo.

🟥 Kuibuka kwa Ghafla kwa Paulo

Paulo (awali Sauli) anaonekana kwa mara ya kwanza katika rekodi za kihistoria kama mtesaji mwenye juhudi wa wafuasi wa Yesu. Kulingana na simulizi zake mwenyewe, uongofu wake wa kushangaza ulitokea kupitia uzoefu wa maono ambapo aliamini Yesu aliyefufuka alimtokea. Mnamo mwaka 48AD Paulo alianza safari zake za kimisionari na kuanza kuandika barua kwa jumuiya za waumini katika Asia Ndogo, Ugiriki, na Roma. Barua hizi zilitangulia Injili na ndizo nyaraka za kwanza zilizoandikwa katika Agano Jipya.

Muhimu zaidi, Paulo hajawahi kujieleza kama mwanafunzi wa Yesu au mwasilishaji wa mafundisho yake. Badala yake, alidai kupokea ujumbe wake moja kwa moja kupitia ufunuo.

Hakuzingatia mifano ya Yesu, mafundisho ya maadili, au ujumbe wake wa Ufalme wa Mungu. Badala yake, Paulo alisisitiza kifo na ufufuo wa Yesu kama njia ya wokovu wa ulimwengu mzima, inayopatikana kwa wote — hasa kwa watu wa Mataifa — kupitia imani pekee.

🟩 Uundaji wa Theolojia Mpya

Maandishi ya Paulo yalitambulisha dhana ambazo hazikuwepo katika mafundisho ya Yesu mwenyewe:

- Yesu kama Mwana wa Mungu wa milele.

- Wokovu kupitia imani, si kwa kufuata Torati.

- Kusulubiwa kama sadaka ya ulimwengu kwa ajili ya dhambi za binadamu.

- Kanisa kama jumuiya ya agano jipya, ikichukua nafasi ya Israeli.

Tafsiri ya Paulo iliifanya harakati ya Yesu kuwa ya ulimwengu mzima, ikiitenganisha na mizizi yake ya Kiyahudi. Alitangaza kwamba watu wa Mataifa wangeweza kuwa wanachama kamili wa watu wa Mungu bila tohara, sheria za chakula, au kuadhimisha Sabato.

Hii ilikuwa mapinduzi. Yesu alihubiri kwa "kondoo waliopotea wa Israeli," na ujumbe wake ulikuwa umejikita katika sheria na unabii wa Kiyahudi. Kwa upande mwingine, Paulo alijenga mfumo wa theolojia uliomgeuza Yesu kutoka kwa Masihi wa Kiyahudi hadi kuwa mwokozi wa ulimwengu mzima.

Kwa hivyo, Paulo wa Tarso alichukua jukumu muhimu katika kuunda Ukristo kama dini tofauti, akitofautiana na harakati ya awali ya Yesu ambayo ilikuwa imejikita katika Uyahudi.

Leo sikupingi
 
Leo sikupingi
ni kwa sababu haujui Maandiko. hata kipindi Yesu Kristo yupo, alitambuliwa kama ni Mwana wa Mungu, na ni kwa sababu hiyo wayahudi walimuua, kwa sababu walisema amekufuru kwa kujiiita mwana wa Mungu.

Luka 16 13 - 18; utakuta Yesu aliwauliza wale wanafunzi wake watu wanamwita nani, Petro akaeleza vile anavyoamini Yesu ni nani, Petro Amkiri Yesu kuwa Kristo na Mwana wa Mungu; NAKUWEKEA MSTARI HAPA CHINI ili ukawafundishe na wenzako;

13 Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? 14Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. 15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
Hawa mbuzi maandiko yako wazi ila wamechagua upotofu na wasipokaa Sawa hawataiona Neema ya Kristo na watapotea Milele nawahurumia sana,Ibilisi kafunga fahamu zao wasione kweli!
 
ni kwa sababu haujui Maandiko. hata kipindi Yesu Kristo yupo, alitambuliwa kama ni Mwana wa Mungu, na ni kwa sababu hiyo wayahudi walimuua, kwa sababu walisema amekufuru kwa kujiiita mwana wa Mungu.

Wayahudi hawakumuua Yesu, Acha Uongo.

Luka 16 13 - 18; utakuta Yesu aliwauliza wale wanafunzi wake watu wanamwita nani, Petro akaeleza vile anavyoamini Yesu ni nani, Petro Amkiri Yesu kuwa Kristo na Mwana wa Mungu; NAKUWEKEA MSTARI HAPA CHINI ili ukawafundishe na wenzako;

13 Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? 14Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. 15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Yesu hakuwa mwana wa Mungu pekee.
Wana wa Mungu wametajwa tangu kitabu cha Mwanzo
 
Mkuu , ushauri wa busara kwako, unge-focus na dini yako unayoijua. Achana na usivovijua/vya kusimuliwa.
Nasema hivii sababu umekuwa ukianzisha mada zinazohusu ukristo/bible based on ur limited understanding kila mara.
Mkuu ni rekebishe kwa kunukosoa kwa maandishi sio kuongea kumihemuko, unajua nyie wengi hampendi kusoma theolojia ya Dini yenu tana wengi ni mbumbumbu katika ukuristo, tuna jitahidi kuwapa historia sahihi mnabisha......nionyeshe kimaandishi wapi Paulo alikutana na Yesu.
 
Nikurekebishe Vipi kwa uandishi wako huu wa kudonoa donoa? Kama una hamu ya kuujua ukristo Karibu kwa mafundisho na Kama una maswali ntakujibu yote.

Wewe uliye kipofu/usiyejua mafundisho ya ukristo….utatueleza nini juu ya kitu usichokufahamu vizuri wewe mwenyewe?

Katika maelezo yako hapo juu ni wazi haujui kabla ya Paulo kuhubiri kwa mataifa hata mitume wengine walihubiri kwa mataifa na pia kueleza Habari za ufufuko wa Yesu .
Pia usichokijua sie Paulo ambaye alifundisha/kusema kwa kufa kwa Yesu ulimwengu umekombolewa. Maneno haya yalisemwa kabla hata Paulo hajawa mfuasi wa Yesu . YOHANA sura ya 1 mstari wa 29 unasema, (naye alipomuona Yesu akiwa anakuja anasema) tazama mwana kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu….
Wakati huo hata Paulo hakuwa anajulikana. Kiufupi Kuna mistari mingi sana inayoelezea wokovu wa dunia kupitia Yesu kabla hata Paulo hajakuwepo kwa picha.
Huwa sina kawaida ya kujibizana mambo ya dini, nimekuandikia hapa ili tu usiwe unapotosha kwa kuongea kitu usichokijua vizuri
 
Attachments

  • downloadfile-1.png
    downloadfile-1.png
    627.4 KB · Views: 14
Ww hujasoma Biblia vyema ukaelewa acha kupotosha ase,Paulo hajawah kukutana na Yesu,alivyoenda dameski Nan alikutana naye???
Tofauti ya yesu na paulo ni miaka 200 walikutana wapi, paul anasema amekutana na yesu kama anavyodai yule mfalme wa mwanza
 
Mohammed influenced by Christians.

Muslims believe Muhammad received his revelation directly from Allah through the angel Gabriel and became a prophet at the age of 40. They insist there was no human intervention in the process.

While Muslims insist Muhammad had no influence whatsoever from Christians, their history reveals differently.

However, the Muslim narrative itself reveals that when Muhammad was between 9 and 12, he met with a Christian monk in Syria. The monk told him Christian tales. Additionally, when Muhammad allegedly received his first divine revelation, he went to his wife’s cousin who was also a Christian and an expert in the Hebrew Bible. Thus, while Muslims insist Muhammad had no influence whatsoever from Christians, their history reveals differently.
Then What alikutana uzuri wa uslam kila kitu kipo wazi sio nyie mnafanya editing kila wakt
 
Back
Top Bottom