Paulo Makonda akiwa kwenye pikipiki bila kuvaa helmet yeye na dereva wake

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,932
5,560
Screenshot_2016-02-17-15-56-22.png


Huu uvunjaji wa sheria tunasubiri kuona Paulo Makonda alichukuliwa hatua.
 
Hapo pasipo kuchunguza makosa mengine ya hicho chombo na dereva wake, tayari wana makosa mawili ya kutovaa helmet ambapo fine yake ni sh30,000@
Mgema akisifiwa...
 
Kama alimpiga waziri mkuu mstaafu kwa mikono yake mwenyewe na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi yake sasa unategemea nani atamchukulia hatua kwa kuoanda pikipiki..
 
Una ushahidi gani kuonyesha kama pikipiki ilikuwa kwenye mwendo?

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga-Faizafoxy wa Jamiiforums.
 
haya ww kubenea tumekusikia, nenda kaiandike kwnye gazeti lako la mwanahalisi si ndo zako. lkn kaa ukijua hilo gazeti lako huku kitaa hatulisomi tena ila 2nalitumia kufungia vitumbua na kababu
 
Back
Top Bottom