mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,186
- 8,982
Mpenda sifa na anataka kujiona mtu wa maana na makini, huu ni kutumia madaraka yake vibaya na kumdharirisha huyo binti. Hizi sarakasi wanazozifanya kwa kutaka sifa ilihali wanawaumiza wanyonge ipo siku watajuta.Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu
Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa madai ya kumtongoza ni uthibitisho wa mashaka yetu, huyo hawezi kuwa mzima, bila shaka ni mwehu
Sijawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kutongoza, hii kwangu ni ya kwanza (Bali wengi hushitakiwa kwa kubaka)
Mnadhani huyu RC wa zamani anazo akili timamu?