Paul Okoye (P Square) : My Son Is Really Giving Me A Tough Time

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,063
2,000
pal.jpg


Paul Okoye of P’square music group shared this picture of him and his son captioned…

Now one leg of ma shoe is missing. Ma phone don turn to handball. This boy no go kill me…sit down here jor* heheheh!

paul-okoye-tiwa.jpg


Lol! i think that’s what it takes to be a father dear..
 

white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
mtoto wake anampa wakat mgumu wakat mwingine anakuta kiatu kimoja hakipo si unajua watoto upenda kuchezea. ukizubaa ata simu anaichezea.

kulea mtoto kazi

Aaa uwe unanielewesha sasa maana mhhhjjhhh ngoja nikamsimulie warumii
 

maiye

JF-Expert Member
Dec 16, 2013
901
1,000
Na yeye na pacha wake walivyokua umri kama huo, watakuwa waliwasumbua wazazi wao mpaka basi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom