Paul Mushi afikishwa mahakamani kwa utapeli wa viwanja

Eneo lote lile frame zile za billionaire pale mikocheni ni zake,ukikunja kama unaenda rose garden Ana nyumba kama 5,ukija shoppers jirani tupo pia
Hyu Ana nyumba nyingi sana kaanza dhuluma kitambo sana
Jamaa hatari sana

Ova
Hizo nÿumba alimdhulumu Nani?
 
Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo Kinondoni.

Hatua hiyo imefuatia baada ya mtuhumiwa huyo kukamwatwa hapo awali kwa tuhuma za kunyang'anyav iwanja vya watu kadhaa na sasa amepekwa Mahakamani ili hatua za kisheria ziendelee.

Hatua hiyo inakuja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Jerry Silaa, kutangaza kuanza kwa operesheni maalumu ya kudhibiti matapeli wa ardhi
katika Jijila Dar es salaam.

Siku chache zilizopita kulifanyika Kliniki ya Ardhi ya Jijini Dar Es Salaam na kuhitimishwa mnamo tarehe 3 Machi2 024 kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi iliyokuwa inasumbua Jiji la Dar Es Salaam kwa muda mrefu.

Chanzo: ITV
Alikuwa "anajimilikisha".sema alikuwa anamilikishwa kinyume cha sheria.Huyo aliyekuwa anatoa umiliki hapo ofisi za ardhi inanidi awe shahidi namba moja
 
Mtuhumiwa wa kutapeli na kudhulumu viwanja vya atu na kujimilikisha kinyume na utaratibu Jijini Dar Es salaam, Paul Mushi ametolewa kituo cha Polisi Oysterbay na kupelekwa Mahakama ya mwanzo Kinondoni.

Hatua hiyo imefuatia baada ya mtuhumiwa huyo kukamwatwa hapo awali kwa tuhuma za kunyang'anyav iwanja vya watu kadhaa na sasa amepekwa Mahakamani ili hatua za kisheria ziendelee.

Hatua hiyo inakuja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Jerry Silaa, kutangaza kuanza kwa operesheni maalumu ya kudhibiti matapeli wa ardhi
katika Jijila Dar es salaam.

Siku chache zilizopita kulifanyika Kliniki ya Ardhi ya Jijini Dar Es Salaam na kuhitimishwa mnamo tarehe 3 Machi2 024 kwa lengo la kutatua migogoro ya ardhi iliyokuwa inasumbua Jiji la Dar Es Salaam kwa muda mrefu.

Chanzo: ITV
Hatua hiyo inakuja baada ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Jerry Silaa, kutangaza kuanza kwa operesheni maalumu ya kudhibiti matapeli wa ardhi
katika Jijila Dar es salaam.
 
Alikua mwajiriwa ardhi ndio akaanza ushenzi wake
Asante mkuu,sasa nimeelewa kua ana info kutoka ndani ya wizara ya ardhi, na ndiyo maana anafanikisha uwovu wake kwa masikini wasiyokua na fedha wala connection, na kweli bila waziri kulisimamia hili hakuna atakae muweza, labda DPP nae aingilie kati ili iwe funzo kwa matapeli wa viwanja vya watu!!
 
Back
Top Bottom