DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,279
- 7,699
Ni aina ya kesi iliyofunguliwa. Serikali haina nia ya kumshtaki, kubenea anapoteza muda.Dogo jeuri sana huyu! Yaani amechukua kila kitu kutoka role model wake!
Aina ya kesi aliyonayo haina nguvu. Kubenea alipaswa kumshinikiza dpp kumfungulia jinai bashite.Hata Sabaya naye time za mwisho alikuwa anakula bata lodge
hata Sabaya tulisema haina nguvu baadae akalambwa mvua 30Aina ya kesi aliyonayo haina nguvu. Kubenea alipaswa kumshinikiza dpp kumfungulia jinai bashite.
Aina ya kesi aliyonayo haina nguvu. Kubenea alipaswa kumshinikiza dpp kumfungulia jinai bashite.
Atakamatwa tu huwa inaanza kama mchezoHalafu wanajifanya wanamuulizia hajui alipo
na hapa yuko mbuga gani ?Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepost video fupi katika ukurasa wake wa Instagram akionyesha yupo mbugani akiwa anakula maisha.
Japo hajaeleza kuwa yupo katika mbuga ipi lakini video inaonyesha ni mazingira ya mbugani, na hajaandika chochote kuelezea video hiyo ambayo ameonekana akipata burudani ya muziki.
Wiki iliyopita Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ilitoa kibali cha kuchapisha gazetini wito wa kumuita Mahakamani Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije.
Katika kesi hiyo, Saed Kubenea anaomba kuweza kumshtaki Paul Makonda japokuwa Makonda hajaonekana Mahakamani. Kesi, ambapo Mahakama imesogeza mbele suala hilo hadi Machi 2, 2022.
Kiburi huwa kinaleta mauti...kiburi ni kitu kibaya mnoDogo jeuri sana huyu! Yaani amerithi kila kitu kutoka role model wake!
Masikini na wenye chuki tuendelee kununa, kuvimba na hadi kupasuka. Umasikini ni mbaya sana.
Umenichekeza eti 'role model wake!'Dogo jeuri sana huyu! Yaani amerithi kila kitu kutoka role model wake!