DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kuptia chama Cha Mapinduzi CCM Paul Makonda amemhakikishia Mgombea urais kupitia cha hicho kuwa Oktoba 29 hakuna maandano na atapewa kura zakutosha.
Makonda amesema " Wananchi wa vijiweni wameniomba kwamba sasa hivi achaneni na habari ya kutokupiga kura hiyo imeshaa sahaulika, wameniomba mkipata fursa ya kuongea achaneni na mambo ya maandamano yameshaasahaulika wao wote wanaenda kupiga kura" Paul Makonda Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini
Makonda ameyasema hayo leo Oktoba 11, 2025 kwenye kampeni za chama hicho zilifanyika huko mkoani Shinyinga