GE2025 Paul Makonda: Nimekuja kuwauliza, Kosa la Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga Kura siku ya tarehe 29?!

GE2025 Paul Makonda: Nimekuja kuwauliza, Kosa la Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga Kura siku ya tarehe 29?!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Paul Makonda akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 08 Oktoba, 2025, Mkoa wa Mwanza amesema, "Nimekuja kuwauliza, Kosa la Dkt Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29?!"

 
Kwani wagombea wa uraisi ni wangapi ,mpaka iwe mtu kutokwenda kupiga kura iwe kosa kwa samia peke yake na sio wagombea wengine wa upinzani?
 
Kosa lake ni kutokutoka hadharani na kubaeleza watz kuwa, 29October tutatoka tuandamane wote na yeye akiwa msitari wa mbele kabisa kupinga uchaguzi wa kimagumashi
 
Back
Top Bottom