The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,736
- 14,026
Salaam waungwana, Mh Magufuli ni kweli watu wazoefu katika nyadhifa mbalimbali hawahitaji semina elekezi
Ila kwa hawa vijana kama Mh Paul Makonda nadhani ni kinyume, watu kwa nafasi tofauti wamekuwa wakihoji kama anajua mpaka wa mamlaka yake.
Mtanzania anaruhusiwa kuwa popote na wakati wowote ilimradi havunji sheria na ikiwa atavunja hamna mwenye mamlaka ya kumfukuza bali kumuwajibisha kwa sheria ya kosa tajwa mfano makosa yanayohatarisha wana Dar es salaam ambayo yana namna ya kuyatreat
Kuuza madawa ya kulevya - zipo sheria za jina zenye adhabu zake na iwapo asipothibitishwa na mahakama kuwa hatiani hata kama ni shitaka la kutokuwa hatiani la 100 makonda hawezi mfukuza.
Kuuza vyakula vyenye sumu- ipo TFDA na wanasheria zao na namna ya kuyamaliaza,
kuingiza bidhaa feki-wapo TRA ,TFDA,TBS na wanazosheria za kuimaliza kesi bila kwenda mahakamani (compounding),
Naomba Nipate tafakuri yenu waungwana