Paul Makonda: Mimi Ni Waziri wa Habari Lakini Naweza Kugeuka na Kuwa Waziri Wa Mambo Ya Ndani na nikakutupa Central Police ukalale Huko

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,357
Reaction score
23,759
Ndugu zangu Watanzania,

Hiyo ni Kauli Ambayo aliitamka Mwamba Mwenyewe Wa Kaskazini na Ukanda wa Ziwa Mheshimiwa Sana Paul Makonda Mbele ya Mkandarasi.

Ambapo Mwamba alifikia hatua hiyo baada ya kuchukizwa,kukerwa na kukasirishwa sana na kitendo cha kusuasua kwa mkandarasi katika ukamilishaji wa miradi ya Ujenzi na ukarabati wa Viwanja vya michezo Ambavyo vipo chini ya mamlaka ya Wizara ya Habari.

Ilifikia Hatua Mwamba akataka achukue uamuzi wa kutoa Amri ya kukamatwa na kutupwa ndani kwa mkandarasi. Sema tu Mwamba akaone amuonee huruma tu hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa Mwamba ni mtu wa Biblia kwa sana na huruma kwa watu. Ndio maana ikafikia hatua akamuuliza mkandarasi idadi ya watoto wake na mahali wanakoishi.

Rai yangu kwa watendaji na watumishi wote wa wizara ya Habari na wanaotekeleza miradi iliyo chini ya wizara kukaa mguu sawa na kuamka kutoka usingizini na kuacha kufanya kazi kwa mazoea au kusuasua au kutaka mpaka wabembelezwe .

Mwamba hanaga kubembeleza tena ukileta za kuleta anaweza kukuchapa makofi ya haraka haraka kama Jetlii. Kwa Hakika Wizara Imepata kiongozi sasa. Imepata mtu kazi. Mwenye kupenda kazi na kujiamini kwelikweliiiiiii.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
7k dog.
downloadfile-270.png
 
kazi na utu,
tunasonga mbele.

well done ndugu waziri Paul Christian Makonda:KasugaYeah:
 
Lucas Mwanangu, nalo hilo mkalitizame kwa umakini pia.
 
Nchi inaongozwa kwa utawala wa sheria, ubabe ni uzwazwa, ulimbukeni wa madaraka. Madaraka ambayo yaliyopokwa 29th October kutoka kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom