Paul Makonda live kupitia Clouds Radio

Paul Makonda live kupitia Clouds Radio

Makonda kaingia kichwakichwa bile kutafakari anachofanya nini kaonekana hadharani alichofaya huwezi kujificha katikati ya Barbara useme mtu hatakuona ni ujinga alioufanya
 
kwa mtu anayesikiliza mataputapu kama haya huyu kipofu anayesema mageziti yananataka kuchafua nchi aliyasomaje?
 
Huyo dogo Makonda mjinga sana na sasa kinachomsumbua ni nafsi kumsuta kuhusu hilo la Warioba, jana pia tumesikia alimpiga mtu huko Dodoma, nafkiri ana matatizo ya akili huyu dogo...

Hebu mpe mji atakaokwenda ikiwa yule mzee wako akishika nchi!
 
Zinatumika nguvu sana kumsafisha jamaa. AZAM TV chini ya YAHYA MOHAMED asubuhi hii wamemtetea sana, wanasema habari za kupigwa mzee Warioba zimepotoshwa, wamekandia sana vyombo vilivyoripoti habari hiyo.
 
This guy Makonda has mental retardation, so please please stop on discussing him as we are wasting our time and resources.
 
Jaji kweli mtu mzima na alikuwa waziri mkuu na mchapa kazi.Watoto wa juzi wanajifanya wanakuja juu sn hawa.
Sijui anajisikiaje kwa ukimwa wa jaji na huku yy povu sn kwny media?
 
hivi mnaosikiliza hiyo redio hamna radio stations kama Magic, Times, E, Passion, Radio One, Capital, East Africa Radio, RFA, KISS?
 
Makonda yupo clouds radio kuhojiwa leo asubuhi kutokana na upuuzi alioufanya kwa mzee wetu, mtetezi wa taifa.

Tungeona kajisafisha kweli kama angeenda chombo huru kama radio DW, BBC, VOA na vya hapa Tanzania ambavyo haviko biased au mrengo fulani. Lakini hapo alipo mrengo wao unajulikana, hivyo hata kama ataongea point tupu, bado itakuwa shida kuaminika!
 
Endelea kukufuru lakini kumbuka wewe aliekupa macho na unaona umemlipa kwa mema yapi?

Sas huyu Mponju sijui yeye si ndo anakufuru zaidi. Anatumia upofu wake kutafuta huruma kwa kusema uongo? Ngoja apewe na kilema
 
Makonda kaingia kichwakichwa bile kutafakari anachofanya nini kaonekana hadharani alichofaya huwezi kujificha katikati ya Barbara useme mtu hatakuona ni ujinga alioufanya

Makonda ameanza kumshambulia warioba kiaina,Amoni anasema vyombo vya habari ni wanafki..Ila sms Za maraia zinawapa changamoto kwan wengi hawapo upande wake nawengne wanadiriki kusema Clouds wamemuita kumsafisha ila hasafishiki Waharir nao Wamenena wengi wakitoa Yamoyoni nakutomuunga mkono kiaina..
 
Ukisikia unafiki ndo huu,delete futa kumbe unasikiliza?

Endelea kukufuru lakini kumbuka wewe aliekupa macho na unaona umemlipa kwa mema yapi?
1015825_877327048952628_4325935954782400751_o.jpg
 
Back
Top Bottom