Vijana kama wa Chadema wanakesha kwenye maandamano na mikutano na kunywa viroba tu lazima wawe masikini
Ukisikia unafiki ndo huu,delete futa kumbe unasikiliza?
Vijana kama wa Chadema wanakesha kwenye maandamano na mikutano na kunywa viroba tu lazima wawe masikini
Kwenye PB Makonda haeleza umaskini wa vijana TZ hausababishwi na CCM bali uzembe na udhaifu wa vijana wenyewe.
Vijana kama wa Chadema wanakesha kwenye maandamano na mikutano na kunywa viroba tu lazima wawe masikini
Tatizo letu ni kwamba ni mabingwa wa kulauma wakati tatizo lipo/ limekwishatokea au limetokea' badala tuache lawama tutoe mipango ya nini kifanyike na utekelezaji ufatiliwe tumekaa kulaumiana fulani hivi fulani vile. Hapo mwambie toa mipango na na saidia kusimamia utekelezaji wake na tutasaidiana financially na nguvu kazi' atakwambia nina mambo yangu mengi binafsi ya kufanya
Clouds ccm!!
Hili li redio nalo ni la kugomea kama Tbc
Kijana wa JONJILO/MALIGISU wanakutumia kama kondomu siku wakimaliza shida zao watakutupa jalalani.Wako wapi akina TAMBWE,MASUMBUKO LAMWAI.Nguvu ya Umma haizuiliki ipo siku mtakabiliana na mamilionni ya watu barabarani mtaua wangapi tukiwa safarini Magogoni.Waulizeni wenzenu wa BUKINA FASO.Mnazuia ELININO kwa vidole.Hamuwezi kutuua wote.Mikutano ya kuzungumzia hatima yetu hamtaki tunataka katiba bora yenye majibu mapana kwa matatizo yetu,angalia ufisadi fedha za ESCROW,MAMILIONI YA USWISS,BAADO KWENU JIJI LA MWANZA KABWE HAK