Paul Makonda live kupitia Clouds Radio

Paul Makonda live kupitia Clouds Radio

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Makonda yupo clouds radio kuhojiwa leo asubuhi kutokana na upuuzi alioufanya kwa mzee wetu, mtetezi wa taifa.
 
Namsikiliza hapa.. Kinachonishangaza ni bidii yake kutumia media kujitetea kila leo. Kama dhamira yake inamwambia kuwa hana hatia yyt kwenye hii fracas, sasa kwanin mapovu yanamtoka kila leo kujisafisha? Wenye akili wanaujua ukweli. Paul hawezi kubadilisha ukweli huu kwa kushinda kwenye media na mind gymnastics zake
 
Huyu kipofu amekula mulungula, amtete makonda
 
Makonda atakuja kuishia vibaya sana,, mwisho wake 2015 kwenye siasa.. Kwa sasa anatumika kama kidekio huyo

Stupid!
 
Gafla kashajenga jina kupitia mgongongo wa Warioba. Kama amempiga kweli basi hii dhambi haiwezi kumuwacha.
 
Mnamsikiliza Muhun huyo wa kupiga Wazee, laana kum kbs na laana hii itamtafuna kbs kijana gan asiyejishim anatumika kama kondo..
 
Clouds wanatumika vibaya.kwanini hawakumwalika Butiku ambaye aliwaona vizuri uvccm chini ya makonda wakianzisha vurugu?
 
Kumbe clouds ni wapuuzi kiasi hiki
 
Makonda yupo clouds radio kuhojiwa leo asubuhi kutokana na upuuzi alioufanya kwa mzee wetu, mtetezi wa taifa

Nikurekebishe Kidogo Inaitwa Clouds TBC4 CCM Serikali Kujipendekeza FM.
 
Huyo dogo Makonda mjinga sana na sasa kinachomsumbua ni nafsi kumsuta kuhusu hilo la Warioba, jana pia tumesikia alimpiga mtu huko Dodoma, nafkiri ana matatizo ya akili huyu dogo...
 
Clouds wanatumika vibaya.kwanini hawakumwalika Butiku ambaye aliwaona vizuri uvccm chini ya makonda wakianzisha vurugu?

Kuna Mwandishi Mawingu FM Awezaye Kufanya Interview Na Mwanafunzi Bora Wa Kiafrika Chuo Cha UJASUSI Jijini Tel Aviv Yafo Nchini Israel Mzee Joseph Butiku? Butiku Ana Hadhi Ya Kufanyiwa Interview Na Watu Kama Amon Paul Na Shaka Ssali Na Wengineo Na Siyo Waandishi MAPOPOMA Wa Mawingu Efuemu!
 
Ina maana hapo kipindi analipia, kama analipia hzo hela ni za nani?
 
Makonda hasafishiki.clouds ni moja ya vyombo vya habari vinavyonufaika na mabilioni ya ikulu yaliyotengwa kutetea katiba
 
[Nimezima Redio.
CLOUDS niliipenda sana. Inatuangusha watanzania. Inanunuliwa kwa gharama ya modi zetu. NATANGAZA VITA DHIDI YAO. sins nguvu ya kupigana kama Makonda, lakini ninayo nguvu ya kuwapuuza na KUTOWASIKILIZA TENA.
 
[Nimezima Redio.
CLOUDS niliipenda sana. Inatuangusha watanzania. Inanunuliwa kwa gharama ya modi zetu. NATANGAZA VITA DHIDI YAO. sins nguvu ya kupigana kama Makonda, lakini ninayo nguvu ya kuwapuuza na KUTOWASIKILIZA TENA.

Uhuru radio, tbc clouds ni vyombo vya habari ni hatari sana kwenye ukombozi wa nchi yetu.
 
Clouds futa Delete kabisa, clouds nasikiliza Miladi Ayo tu.
 
Back
Top Bottom