bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,369
- 24,703
Sabaya , Ali happy walionewa kutumbuliwa inatakiwa warejeshwe
Haya nasubiri nikuone ITV, Ukirudisha kadi mwana chichiemZamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Naomba Mungu habari hii iwe kweli, ili kuharakisha Anguko.
Ni ndoto Samia kumrejesha kwenye system mtu aliyetajwa na marekani kuwa ananyima watu haki ya kuishi.
Mpapaka inaonesha wewe huko ccm ni kunguni tu hujui hata kunachoendeleaHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Haiwezekani bwana mdogo. Mama mbona angekuwa ashampa nafasi kitambo tu, ila Mzee wa Arusha agreed to be back and work with her on one condition, na hio condition ndo inamfanya Daudi akae benchi.
Kapimwe akiliJohn ebu uwahi kanisani wakuombee, hata hujui CCM kiundani kumbe...
Mama Samia, Raiz wetu, hawezi fanya huo uteuzi wa kijinga hivyo, hata milele yote.
Huoni kama wewe ndio taktaka?Ndiyo maana watu wa maana wameiasi JF kwa sababu ya watu kama nyinyi. Nimekutana na mtu mmoja Tweeter anauliza kama JF bado ina exist. Anasema kule kumejaa takataka!
Rudisha kadi mkuuZamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Uhali gani!Huyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Anguko ndio liko njiani !! Ishara yake ni huku kutapatapa. How do you appoint a person to such a post when he has been black listed by your financiers?Mungu kakusikiliza..!! Endelea na maombi ili anguko litimie
Vipi ushaandaa press conference mzee baba au mpaka kesho?Zamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Mkuu urudishe kadi sasaZamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
We na chawa wenzako furahieni kwa vile mnaongozwa na mama lichafu sioni la ziada zaidi ya kuhitimisha ukweli na uhovyo wa wahusikaBwana Father of All, unajisikiaje huko uliko na kundi la funza wako?
salamalekoHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.