Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Hapo mama atakua amecheza kama pele. Ukiachilia mbali uzushi wa wanachadema ambao wamewaaminisha hata baadhi ya wanaccm wenzetu, Makonda ni mtu poa sana na ana uwezo mkubwa kiuongozi.
 
Kwani Katibu wa sasa ameshindwa ilhali hajakaa hata miezi minne tu jamani; mawimbi yamekuwa makubwa sana? Lakini Katibu mwenezi wa sasa ndiye ninayempenda. Sijui anafanya nini madarakani lakini nampenda sana.
Huo uzee bado unapenda vigori?
 
View attachment 2683862
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!
Moderator tuondolee uchafu huu. Makonda alishakwisha na hafai hata kuongoza kundi la funza.
 
Ila ukaribu wa Makonda na Kaldinali Pengo ni exclusive aisee. Dogo anajua kukaa na wakubwa
Screenshot_20230711_074616.jpg
 
Back
Top Bottom