Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Binafsi naipenda attitude ya PM ya kujaribu, ubunifu na kutokuogopa. Nilijifunza mengi kwake. Ila kiburi sikupenda hata kidogo!
Sasa ulitaka amuogope nani wakati yeye alikuwa mtoto pendwa na mtumwa mwaminifu wa mwendazake.
 
Kama ni kweli kwa ushauri ni afadhali wamfanye kama Polepole wakamuweke huko asifanye kazi Kwa kuingiliana na watu .

Labda wa mpe ubalozi wa mbali hukooo kama anataka kurejesha fadhili.
 

Ñafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ni nafasi inayomfaa mtu msema hovyo, Makonda anatosha kwa sifa hizo.

Nafasi ya ya Uenezi na Katibu Mkuu CCM zote waliopo wamepwaya sana.

Wakishamaliza kuteuana mjadala wa bandari unaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…