New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,310
- 2,425
Na ahikikishe anaoga anavoenda mjini
Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana !Akimaliza kukabidhi ofisi, atafute kazi nyingine ya kufanya Dar haraka sana au arudi kwao Koromije, maana jiji la Dar hatutaki wazururaji wasiokuwa na kazi maalum.
Bora asingegombea tu akabaki na kitengo chake cha mauwaji,kuteka,kutesa and the like. Swali la kizushi: Hivi atapewa ulinzi mpaka kufa kwake au kina Roma,Lissu watamsamehe?Bashite anaweza kung’oa zile Apple machines akidai ni zake binafsi. He might have thought atakaa hapo milele
Chenji alizokuwa anabakiza kwenye operation za kumsaka Mange Marekani,na kuwalipa watesi wa zile maiti zinazoelea kwenye viloba baharini.Huyo Hela anayo mkuu
Labda cheo tu ndiyo Atakuwa hana
Ova
Le MutuzKama kuna mwana usalama aliingia kichwani kwake kumwambia Mzee amemaua aache uRc akagombee ccm amemuweza sana
Atafute nyumba Buguruni.Ile migari iliyokuwa akiifunga plate number za RC nayo ataikabidhi au ni yake binafsi?na akihama pale masaki wapi ataelekea kwa sasa? Maisha yanaenda kasi sana
All in all it was refurbished for him
Hivi akishakabidhi atabaki na kazi gani? Au atakuwa mzururaji kama aliokuwa anawabatiza jina hilo alipokuwa RC?Ndivyo ilivyo.
Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote.
Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia.
Maendeleo hayana vyama!
Embu piga picha, naye akikabidhi, anarudi home kama katoka utumishi kupiga interviewTamaa inayafanya kwenda kasi zaidi
Tatizo la kazi zisizo na interview, sasa akipiga interview ataheshimu kaziEmbu piga picha, naye akikabidhi, anarudi home kama katoka utumishi kupiga interview
Nasikia roughly ilicost kama m400 hivi mpaka ilizua gumzo na kufanyiwa uchunguzi jamaa akaclaim alitumia gharama zake mwenyewe ?Ile ofisi ni nzuri bwana, kiti na meza ya boss na meza ya mikutano pembeni. Ukutani Kuna urembo wa vipande vya magogo . Acha apple machines.
Kama kuna mwana usalama aliingia kichwani kwake kumwambia Mzee amemaua aache uRc akagombee ccm amemuweza sana
Mke wake anategemea kujifungua watoto ma pacha wakati wowote.Hivi anatazamanaje na mke wake huko ndani!??
What a waste..!?
Duh! Pole yakeMke wake anategemea kujifungua watoto ma pacha wakati wowote.
Na ule ulinzi na msafara aliokuwa akitembea nao pia atanyang'anywa sijui atatembeaje mjiniIle migari iliyokuwa akiifunga plate number za RC nayo ataikabidhi au ni yake binafsi?na akihama pale masaki wapi ataelekea kwa sasa? Maisha yanaenda kasi sana