“ KARMA “ Law of the Universe !Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson.
CCM wameshatumia mbinu zote chafu kushinda chaguzi nyingi na wasichokijua ni kwamba mtu huishiwa mbinu mwishoni na kuanguka.
Hii mbinu Makonda wanayotumia CCM sasa ili kuwini lile kundi Sukuma ni mbinu itakayoweza kuwalipukia CCM na kuwafanya wakataliwe maeneo mengine nchini. Tumeona pia mbinu Biteko ilivyotumika kwa kuunda cheo cha naibu waziri mkuu ambacho kikatiba hakipo,
Kuelekea 2025 wataunda mbinu Masanja na hata mbinu Maganga na bila kujua watajikuta wanabaki na kabila flani na kuchukiwa na wengine wote.
Kuwatenga watu kikabila ni strategy mbovu sana Tanzania na ina laana kubwa! Mkumbuke hata Magufuli alicheza rafu zote kuwahi kuchezwa katika historia ya chaguzi za Tanzania pamoja na kuwa Msukuma wa Geita na kumwaga miundombinu kibao huko! Sasa mtu wa Mkunazini anafikiri atakubalika kanda ya ziwa kwa mbinu hizi?
Mbinu Makonda inaipasua nchi na CCM pia. Lakini kwanini CCM imefika pahali pa kutumia mbinu hizi ili kushinda na bado hawashindi kihalali? Ni dadili za kuufikia mwisho wa safari.
Sababu za kujutaBila hofu nina imani Samia anajuta huko alipo kama kuna mtu alimdanganya kumrejesha Makonda hapo alipo anajuta. Makonda anakivuruga chama hasa.
Makonda anafanya yale ambayo yatawadhibiti wale ambao wanakimezea mate kiti cha Maza kutoka Chamani 2025 !!Bila hofu nina imani Samia anajuta huko alipo kama kuna mtu alimdanganya kumrejesha Makonda hapo alipo anajuta. Makonda anakivuruga chama hasa.
Sawa MunguBila hofu nina imani Samia anajuta huko alipo kama kuna mtu alimdanganya kumrejesha Makonda hapo alipo anajuta. Makonda anakivuruga chama hasa.
Maajabu ! Ngoja tuone 😂Matarajio yetu wapinzani wa Makonda, Samia na CCM mngeshangilia.
Ajabu nyote mnahaha, mnaweweseka na kuumia!
Kama mwanachama wa CCM pole, ila kwa wapinzani ni furaha adui yao akivurugana.Makonda anakivuruga chama hasa.
Hili linanishanigaza sana, wapinzani ndio wanaionea huruma na kumshauri Mwenyekiti wa CCM abadilishe uteuzi wake, badala ya kufurahia.Matarajio yetu wapinzani wa Makonda, Samia na CCM mngeshangilia.
Ajabu nyote mnahaha, mnaweweseka na kuumia!
Nilikuwa napita safarini naona watu dancing in the rain wanamsubiri Makonda.
Tulipofika Maswa tukaona kigari.mkokoteni wa punda. Yule dreva wetu akasema,"Hawa wanamsubiri Makonda,akifika hapa atapanda huu mkokoteni".
sijawahi kuamini kwamba makonda ana akili timamu nipo tayari kukosolewa. yaani asiende kumzika dictata magufuli akazulu kaburi lake? howMike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson.
Je watanzania mnajua kwanini nchi nyingi barani Africa ukabila ni tatizo kubwa? Na ni akina nani walianzisha ukabila huo na kwa madhumuni gani?
CCM wameshatumia mbinu zote chafu kushinda chaguzi nyingi na wasichokijua ni kwamba mtu huishiwa mbinu mwishoni na kuanguka.
Hii mbinu Makonda wanayotumia CCM sasa ili kuwini lile kundi Sukuma ni mbinu itakayoweza kuwalipukia CCM na kuwafanya wakataliwe maeneo mengine nchini. Tumeona pia mbinu Biteko ilivyotumika kwa kuunda cheo cha naibu waziri mkuu ambacho kikatiba hakipo,
Kuelekea 2025 wataunda mbinu Masanja na hata mbinu Maganga na bila kujua watajikuta wanabaki na kabila flani na kuchukiwa na wengine wote.
Kuwatenga watu kikabila ni strategy mbovu sana Tanzania na ina laana kubwa! Mkumbuke hata Magufuli alicheza rafu zote kuwahi kuchezwa katika historia ya chaguzi za Tanzania pamoja na kuwa Msukuma wa Geita na kumwaga miundombinu kibao huko! Sasa mtu wa Mkunazini anafikiri atakubalika kanda ya ziwa kwa mbinu hizi?
Mbinu Makonda inaipasua nchi na CCM pia. Lakini kwanini CCM imefika pahali pa kutumia mbinu hizi ili kushinda na bado hawashindi kihalali? Ni dadili za kuufikia mwisho wa safari yao?