Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

mimi sijaona tatizo muacheni Makonda na Div 0 atawale Mkoa wa Dar
hamna ubavu wa kumkataa
 
mimi sijaona tatizo muacheni Makonda na Div 0 atawale Mkoa wa Dar
hamna ubavu wa kumkataa
Hapana .... elimu ni muhim sana maishani kwake...huwezi fanya rational decisions bila elimu...

Akarisiti...muda upo atarudi kuwa mkuu wa mkoa hata 2030's....
 
Mmewaonea wanyonge hasa walimu, wengi tu wameacha kazi kwa suala la vyeti feki, leo hii watu wabakuja hapa wanatetea mtu anayesadikika kwamba anatumia vyeti ambavyo sio vya kwake (vya kununua) shame on you.

Tulishasema nchi hii ukianza kukagua vyeti watumishi na wafanyakazi wengi sana wataingia hatiani mkajifanya kukomaa nalo, haya sasa endeleeni kukomaa nalo sio kuwalinda baadhi ya watu, tendeni haki kwa wote. Hili litawatafuna aseee
 
wendawazimu siyo lazima uokote makopo takataka ovyo. maneno na matendo mengine tosha usivyofa kuwa kiongozi.
 
mkuu ndio maana mnaitwa wajinga!wapumbavu! madume suruali!

ushaambiwa hataki kutow, wewe na mende wenzako mnafanya nini? kama kitu huwezi kufanya chochote.
.kaa kimya
Na wewe pia ni katika kundi hilo la wanaoitwa wajinga, wapumbavu, madume suruali?
Au wewe na nzi wenzako mmefanya nini?

Au wewe hutaki kuviona vyeti vya form 4 vya RC?

Kama ungeliwapa ushauri hao mende ,ungeliwashauri wafanye nini?

Kwa sababu uhakiki wa vyeti hewa bado ni muhimu kuendelea kufanyika bila kujali cheo cha mhusika.

Mimi bado naamini mende wanafanya kile wanachotakiwa kufanya, kumsaidia Rais kwa kuwaandika wale wanaotuhumiwa kumiliki vyeti hewa. Rais alipokutana na wahariri na wanahabari aliwaomba wamsaidie kufichua uovu. Je kumiliki vyeti hewa si uovu? Vyeti hewa ni nyara za siri-kali.

Hewa, hewa ,hewa na vyeti hewa.
Link Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

Link2. Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya!
 
892ed919d13bfb2308c6b0b3d98c00ef.jpg
 
Jitaidi kufanya kazi haya Mambo ya mitandaoni yaache hukuhuku watu watajijibu wenyewe iwe kweli au uongo we waachie swali wajiulize na kujijibu wenyewe big up keep working
 
YEYOTE KUTOKA NECTA ATAKAE SHIRIKI UFYATUAJI WA VYETI,KUMLINDA HUYU MUAHINI,AKIBAINIKA ATATUMIKIA KIFUNGO CHA MAISHA JELA
 
Ni kweli kbs rc,mteule wa mkubwa sana ! Unasema hivyo kwakua unajua jeuri yako ilipo.ss naamini Sugu alikua sahihi.ndo unachojivunia.kumbe ndo maana unatoroka kupimwa na Dr.mkuu wa serikali ! Bac kwa uhakika huo ulionao, inaonyesha wazi kuwa ulijisafishia njia ya madaraka tangu cku nyingi kwa viongozi mbalimbali.hongera kwa hilo.na unakataa kipimo kwa kujua utakutwa hoi bin wataabani.kwajinc ulivyohudumia wakuu mbalimbali ili ufikie lengo lako la (URC)naitimie kwako km ulivyojichagulia njia ya kukupa madaraka kwa kila kiongozi atakaye kuhutaji.na afanyaye km ww, mlango wakuzimu uuwazi kwa ajili yake.(umeirudisha tena sodoma duniani ww mtu!)
 
Makonda atambue kuwa, ishu siyo zero, ishu ni udanganyifu

Kwani olesendeka ana ziro na yupo ni mkuu wa mkoa na hakuna anayemwandama

Kinaulizwa hapa, ni kwanini hakutumia vyeti vyake?
 
Na wewe pia ni katika kundi hilo la wanaoitwa wajinga, wapumbavu, madume suruali?
Au wewe na nzi wenzako mmefanya nini?

Au wewe hutaki kuviona vyeti vya form 4 vya RC?

Kama ungeliwapa ushauri hao mende ,ungeliwashauri wafanye nini?

Kwa sababu uhakiki wa vyeti hewa bado ni muhimu kuendelea kufanyika bila kujali cheo cha mhusika.

Mimi bado naamini mende wanafanya kile wanachotakiwa kufanya, kumsaidia Rais kwa kuwaandika wale wanaotuhumiwa kumiliki vyeti hewa. Rais alipokutana na wahariri na wanahabari aliwaomba wamsaidie kufichua uovu. Je kumiliki vyeti hewa si uovu? Vyeti hewa ni nyara za siri-kali.

Hewa, hewa ,hewa na vyeti hewa.
Link Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

Link2. Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya!

Mkuu utavunja mpaka laptop!! hakusikii mtu!!

ukitaka usikike, with those evidence nenda mahakamani!! ukiongea sana unachoka, na wanaume wafanyaji zaidi kuliko kuguna

haujanielewa tu??
 
Back
Top Bottom